003Shehe_katika_Biblia_Completed5jan17

003KtkBib02aShh5jan17                 Shehe katika Biblia.                             192

View 01
Katika Biblia shehe/neno ‘shehe’ limetajwa mara 25 katika Biblia yote.
Kwenye kitabu cha 1Samweli, mara 10, Nehemia, mara 9.

Aya.
Mwonekano.
Aliyesema kuhusu ‘shehe’.

‘shehe’ adui / asiye pamoja na Israeli / kinyume na Israeli.
.1.
Yosh 13:3,21.
1Samw 6:16,17.
1Samwi 29:2,7.
Inaonesha ‘shehe’ si mtu bali ni taifa/kundi.

Mungu via Yoshua.
Mwandishi, Samweli.
Mwandishi, Nabii Gadi.
.2.
Yosh 17:4.
Hakuna mwonekano dhahiri kuwa ni watu Fulani husika au laa.

Mwandishi – Yoshua.
.3.
.
.
.
.5.
1Samw 5:8,11,              6:12,16.
Inaonekana ‘shehe’ ni viongozi/kiongozi.

Mwandishi – Samweli.

1Samw 6:12, 7:7.
Hadi kwa Wafilisti kuna mashehe.
1Samw 6:4,4.
Mashehe nao hupigwa na Mungu.

Aya.
Mwonekano.
Aliyesema kuhusu ‘shehe’.

‘shehe’ asiye adui / aliye pamoja na Israeli.
.4.
1Nyak 7:40.
2Nyak 1:2.
Neh 5:16, 12:40.
Neh 7:5.

Inaonesha ‘shehe’ si mtu bali ni taifa.

Mwandishi, Ezra.
Sulemani.
Nehemia.
Mungu.
.5.
Ezra 9:2.

Neh2:16,4:14,19,
 5:7,13:11.
Hadi kwa Wafilisti kuna mashehe.
Neh 5:7, 13:11.

Mashehe nao hufanya yasiyo mazuri kwa Mungu.
Neh 2:16.
Shehe hakuheshimiwa sana.
Neh 4:14.
Shehe kutiwa moyo.

Rejea za Biblia.
-->Joshua 13:3 kutoka Shihori, hicho kijito kilichokabili Misri, hata mpaka wa Ekroni upande wa kaskazini, nchi inayohesabiwa kuwa ni ya hao Wakanaani; mashehe matano wa hao Wafilisti; Wagaza, na Waashdodi, na Waashkeloni, na Wagiti, na Waekroni; tena Waavi,

-->Joshua 13:21 na miji yote ya nchi tambarare, na ufalme wote wa Sihoni mfalme wa Waamori, aliyekuwa akitawala katika Heshboni, aliyepigwa na Musa pamoja na hao wakubwa wa Midiani, nao ni Evi, na Rekemu, na Suri, na Huri, na Reba, hao mashehe wa Sihoni, waliokuwa katika nchi hiyo.

Joshua 17:4 Nao wakakaribia mbele ya Eleazari, kuhani, na mbele ya Yoshua, mwana wa Nuni, na mbele ya mashehe, wakasema, Bwana alimwamuru Musa kutupa sisi urithi kati ya ndugu zetu; basi kwa kuiandama hiyo amri ya Bwana akawapa urithi kati ya ndugu za baba yao.
1 Samweli 5:8 Basi wakatuma watu waende kuwakusanya kwao mashehe wote wa Wafilisti, wakasema, Tulifanyieje sanduku la Mungu wa Israeli? Nao wakajibu, Sanduku la Mungu wa Israeli na lihamishwe liende Gathi. Wakalihamisha sanduku la Mungu wa Israeli.
1 Samweli 5:11 Kwa hiyo wakatuma watu waende kuwakusanya mashehe wote wa Wafilisti, wakasema, Liondoeni hilo sanduku la Mungu wa Israeli, liende tena mahali pake, ili lisituue sisi, wala watu wetu; kwa sababu kulikuwa na fadhaa kubwa sana mjini mwote; mkono wa Mungu ulikuwa mzito mno huko.
1 Samweli 6:4 Ndipo wakauliza, Na hayo matoleo ya kosa yatakuwa ya namna gani, hayo tutakayompelekea? Nao wakajibu, Na yawe majipu ya dhahabu matano, na panya wa dhahabu watano, sawasawa na idadi ya mashehe wa Wafilisti; kwa kuwa tauni moja ilikuwa juu yenu nyote, na juu ya mashehe wenu.
1 Samweli 6:12 Na hao ng'ombe wakashika njia moja kwa moja kwenda Beth-shemeshi; wakaiandama njia ya barabara, wakaenda wakilia, lakini hawakugeukia upande wa kuume wala wa kushoto; na mashehe wa Wafilisti wakawafuata hata kuufikia mpaka wa Beth-shemeshi.
1 Samweli 6:16 Na hao mashehe watano wa Wafilisti, hapo walipokwisha kuyaona hayo, walirejea Ekroni siku iyo hiyo.
1 Samweli 6:18 na panya wa dhahabu, kwa idadi ya miji yote ya Wafilisti, milki zao wale mashehe watano, miji yenye maboma na vijiji vya mashamba pia. Nalo lile jiwe kubwa, ambalo juu yake waliliweka sanduku la Bwana, liko hata hivi leo hapo kondeni pa Yoshua wa Beth-shemeshi.
1 Samweli 7:7 Hata Wafilisti waliposikia ya kuwa wana wa Israeli wamekusanyika huko Mispa, mashehe wa Wafilisti walipanda juu ili kupigana na Israeli. Nao wana wa Israeli waliposikia, wakawaogopa Wafilisti.
1 Samweli 29 2 Nao mashehe wa Wafilisti wakapita mbele, mia kwa mia, na elfu kwa elfu; naye Daudi na watu wake wakapita wa mwisho pamoja na Akishi.
1 Samweli 29:7 Basi sasa urudi, uende zako kwa amani, ili usiwachukize hao mashehe wa Wafilisti.
1 Mambo ya Nyakati 7:40 Hao wote ndio wana wa Asheri, wakuu wa mbari za baba zao, watu wateule, hodari wa vita, wakuu wa mashehe. Na hesabu yao waliojumlishwa kwa vizazi vyao kwenda vitani walikuwa watu ishirini na sita elfu.
2 Mambo ya Nyakati 1:2 Sulemani akasema na Israeli wote, na maakida wa maelfu, na wa mamia, na waamuzi, na kila shehe wa Israeli wote, wakuu wa nyumba za mababa.
Ezra 9:2 Maana wametwaa binti zao kuwa wake zao, na wake za watoto wao; basi mbegu takatifu wamejichanganya na watu wa nchi hizi; naam, mkono wa wakuu na mashehe umetangulia katika kosa hili.
Nehemia 2:16 Wala mashehe hawakujua nilikokwenda, wala nilivyotenda; wala sijawaambia Wayahudi, wala makuhani, wala wakuu, wala mashehe, wala watu wengine waliokuwa wakiifanya kazi hiyo. ------->2
Nehemia 4:14 Nikatazama, nikaondoka, nikawaambia wakuu, na mashehe, na watu wengine waliobaki, Msiwaogope; mkumbukeni Bwana, aliye mkuu mwenye kuogofya, mkawapiganie ndugu zenu, na wana wenu, na binti zenu, na wake zenu, na nyumba zenu.
Nehemia 4:19 Nikawaambia wakuu, na mashehe na watu wengine; Kazi hii ni nyingi, tena kubwa, nasi tumetawanyika juu ya ukuta, kila mtu mbali na mwenzake;
Nehemia 5:7 Ndipo nikafanya shauri na nafsi yangu, nikagombana na wakuu na mashehe, nikawaambia, Mnatoza watu riba, kila mtu ndugu yake. Nikakutanisha mkutano mkubwa ili kushindana nao.
Nehemia 5:17 Pamoja na hayo wakawako mezani pangu, katika Wayahudi na mashehe, watu mia na hamsini, zaidi ya wale waliotujia kutoka kwa makafiri waliotuzunguka.
Nehemia 7:5 Mungu wangu akanitia moyoni mwangu, kwamba niwakusanye wakuu na mashehe, na watu, ili wahesabiwe kwa nasaba. Nikakiona kitabu cha vizazi vya hao waliokwea hapo kwanza, nikaona ya kwamba imeandikwa humo;
Nehemia 12:40 Ndivyo walivyosimama mikutano miwili yao walioshukuru nyumbani mwa Mungu, na mimi, na nusu ya mashehe pamoja nami;
Nehemia 13:11 Ndipo nikagombana na mashehe, nikasema, Mbona nyumba ya Mungu imeachwa? Kisha nikawakusanya, nikawaweka mahali pao.

àShehena.
Yona 1:5 Basi wale mabaharia wakaogopa, kila mtu akamwomba mungu wake; nao wakatupa baharini shehena iliyokuwa merikebuni, ili kuupunguza uzito wake. Lakini Yona alikuwa ameshuka hata pande za ndani za merikebu; akajilaza, akapata usingizi.
Matendo ya Mitume 21:3 Na tulipoona Kipro tukaiacha upande wa kushoto; tukasafiri mpaka Shamu tukashuka Tiro. Kwa maana huko ndiko merikebu yetu itakakoshusha shehena yake.
Matendo ya Mitume 27:10 akawaambia, Wanaume, naona kwamba safari hii itakuwa na madhara na hasara nyingi, si ya shehena na merikebu tu, ila na ya maisha yetu pia.
Matendo ya Mitume 27:18 Na kwa maana tulikuwa tukipigwa sana na ile tufani, siku ya pili yake wakaanza kuitupa shehena baharini.
Matendo ya Mitume 27:38 Walipokwisha kushiba wakaipunguza shehena ya merikebu, wakiitupa ngano baharini.

View 02.
 Pakua hapa/ download here.

Comments