006Ubtz2/9jan17
Ubatizo.
View 01.
View 02.
View 01.
Kuna ubatizo /
mibatizo / mabatizo mingi/mengi!!!...?!. -->Waebrania 6:1,2
Waebrania 6:1 Kwa sababu
hiyo, tukiacha kuyanena mafundisho ya kwanza ya Kristo, tukaze mwendo ili
tuufikilie utimilifu; tusiweke msingi tena wa kuzitubia kazi zisizo na uhai,
na wa kuwa na imani kwa Mungu, :2 na wa mafundisho ya mabatizo, na kuwekea
mikono, na kufufuliwa wafu, na hukumu ya milele.
|
+-------------+++++++++----------------++--->
1/7
+-------------+++++++++----------------++
Ubatizo kwa maana
ya kibiblia.hakuna maana ya moja kwa moja iliyotolewa (kwa uwazi). Anayejua maana aseme.
--->Kusema
ubatizo wa maji mengi au machache vyote ni sawa si kweli. Na hatakama ni
sawa, Ukweli ni kwamba kubatizwa ni kwa Roho Mtakatifu na ndo kwa moto kwa
ushahidi wa andiko/kimaandiko.
Huyo
aliyembatizaga Yesu haikuwa kazi yake. Wewe unayebatiza leo ni kazi yako
hiyo?!. Wewe uliyebatizwa, aliyekubatiza ni kazi yake?!.
Wewe unayesema
maji mengi au machache toa maandiko. Usiwe mtu unaye kariri ya watu na si ya
Mungu.
Kwa Mtu anasema
Yesu alibatizwa maji mengi.
->Hakuna
uhakika kuwa maji ni mengi au laa (yaliyotumika kumbatizia/kumbatiza).
Eti kisa ni mtoni.
Kwani mtoni haiwezekani maji machache/kidogo/ya kichwa?!.
Au kama ni ya
kichwa wangelifanyia nyumbani ee?! haya, ila Yeye Yesu hakusema Ubatizwe maji
mengi na isitoshe usimwige kila kitu ila msikilize kila kitu.
NB: Kuna tofauti
kati ya kusikiliza na kuiga. Ukimwiga Yesu, si mbaya. Ila unamwigaje?.
Kama unamwiga Yesu
kwakuwa alibatizwa, basi iga na
haya. .i. Usioe (kwa mwanaume), kwa
wakike sijui mimi. .ii. Usiende
shule, .iii. Usisali kanisani n.k
maana yote hakufanya. .iv.
Usikubali/usiwe mwanafunzi bali wewe ndo uwe mwalimu na uwe na wanafunzi
(sasa sijui wao itakuaje maana nao kama wanamfata Yesu hawatakiwi wawe na mwalimu). .v. Yesu alitumia sana kauli za 'Mimi
nasema', na wewe tumia hizo kauli.
n.k <--- Huko ndo kuiga
Ila, kama unaiga machache, maana yake unaiga yale unayoyaweza wewe.
Basi usiwalazimishe watu waige/wamwige pia. Pia, kama ni kwakuwa ulipenda
wewe ndo ukaiga, usiwalazimishe wengine wapende.
Na
kama hawatopenda kuiga usiwahukumu. Kama Yesu amesema iga hili, sawa. Ila
kama hakusema, usimlaumu mtu na usijione kuwa wewe ni bora sana.
Kuiga so tatizo,
ila inategemea unaiganini ili nini. Umeambiwa ubatizwe kwa maji yoyote?!.
Wapi alisema. Au una/mna msingizia Mungu?!.
Mtu asiibuke na
hoja zake bila maandiko. Yesu amesema/ametuambia/aliwaambia katika Mathayo 28:19 Basi,
enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba,
na Mwana, na Roho Mtakatifu;.
Sasa
anayesema ubatizwe kwa jina lake ndo umwige?!. Yeye Yesu alibatizwa kwa jina
la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu?!. Haya tufanye kama umemwiga,
utabatizwa kwa maji mengi. Je, utatumia jina la nani?!. Kama utatumia lake,
sasa umebatizwa kwa jina au kwa maji?!. au kwa maji na kwa jina?!. kama ni
kwa maji na kwa jina, umemwiga au umefanya yako?!.
Yeye amesema
(Yeye, Yeye, Yeye Yesu amesema) Math 28:19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa
wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Hapo hajasema ata
neno moja kuhusu kutumia maji yoyote/yeyote.
|
+-------------+++++++++----------------++--->2/7.
Ukitaka kujua
hakuna haja ya kulumbana kuhusu ubatizo wa/kwa maji, jiulize na ujijibu.
Musa, Ayubu,
Abramu (si Abrahamu)/Ibrahimu, Enoko,Eliya, Elisha, n.k. hao ni baadhi ya
watumishi fulani wa Agano la kale, Je,
walibatizwa?!. Je, kati ya hao,
akinanani walimtokeaga Yesu mara ngapi (kuonesha wapo hai)?!. Je,
walibatizwa?!.
Yeye Yohana Mbatizaji,
yupo mbinguni au laa?!. Je, alibatizwa?!. Je, kabla ya Yohana kulikuwa na
ubatizo?!. Kama haukuwepo, waliendaga wapi?!. Au basi hakuna umuhimu wa
ubatizo kama bila kubatizwa unaenda Mbinguni maana imeonekana wameenda
mbinguni.
|
+-------------+++++++++----------------++--->3/7.
Yesu kutamka
kuhusu kupinga ubatizo wa maji kwa wazi. (Bila kujali ni maji mengi au
machache).
.1. Math 28:19 Basi,
enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la
Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
.2. Marko 10:39 Wakamwambia, Twaweza. Yesu akawaambia, Kikombe
ninyweacho mimi mtakinywea, na ubatizo nibatizwao mimi mtabatizwa; 40 lakini habari ya kuketi mkono wangu wa
kuume au mkono wangu wa kushoto si langu kuwapa, ila wao watapewa waliowekewa
tayari.
Kama Yesu
alibatizwa kwa maji mengi, hapo amesema, ata ukibatizwa kwa maji mengi
unaweza usiende mbinguni. Ila hajasema kwamba usipobatizwa maji mengi utaenda
mbinguni.
Marko 10:39. .1.
Kumwiga Yesu so tatizo. .2.
Utakapomwiga Yesu usipoenda mbinguni, usishangae. .3. Yawezekana kubatizwa kama
alivyobatizwa Yesu. .4. Kuenda
mbinguni/kuwa mbinguni ni kwa waliowekewa tayari.
|
+-------------+++++++++----------------++---->4/7.
Kuhusu Yohana
mbatizani.
.i. Hakuwa mtu
mdogo. Math 11:11
Amin, nawaambieni, Hajaondokea mtu katika wazao wa wanawake aliye mkuu kuliko
Yohana Mbatizaji; walakini aliye mdogo katika ufalme wa mbinguni ni mkuu
kuliko yeye.
.ii. Mfalme Herode
alimwona Yesu kuwa ni kama Yohana Mbatizaji. Math 14:1 Wakati ule mfalme Herode alisikia
habari za Yesu, akawaambia watumishi wake,
2 Huyo ndiye Yohana Mbatizaji; amefufuka katika wafu; na kwa hiyo
nguvu hizo zinatenda kazi ndani yake.+ Marko6:14.
.iii. Na yeye Herode ndo ali mwuaga Math 14:8 Naye, huku
akichochewa na mamaye, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana
Mbatizaji. + Marko 6:24.
.iv. Watu wengine
pia walimwona Yesu kuwa ni Yohana Mbatizaji. Math 16:14 Wakasema, Wengine hunena u Yohana
Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii. +
Marko 8:28, Luka 9:19.
.v. Yohana
Mbatizaji alionekana kuwa na pepo. Luka 7:33.
|
.vi. Na huyo
Yohana mbatizaji ndiye Eliya.
Math 17: 10 Wanafunzi
wake wakamwuliza, wakisema, Basi kwa nini waandishi hunena ya kwamba imempasa
Eliya kuja kwanza? 11 Naye akajibu,
akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote, 12 ila nawaambia, ya kwamba Eliya
amekwisha kuja, wasimtambue, lakini wakamtenda yote waliyotaka. Vivyo hivyo
Mwana wa Adamu naye yuaenda kuteswa kwao.
13 Ndipo wale wanafunzi walipofahamu ya kuwa amesema nao habari za
Yohana Mbatizaji.
.vii. Yohana
kutamka kwa uwazi kuhusu kupinga ubatizo wa maji.
Math 3:11 Kweli mimi
nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu
kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa
Roho Mtakatifu na kwa moto.
==>> Marko
1:8, Luka 3:16, Yohana 1:26.
|
Maneno ya wazi ya
nukuu za/ya Luka katika kitabu cha Matendo kutamka wazi kupinga ubatizo wa
maji.
+-------------+++++++++----------------++
--->5/7.
+-------------+++++++++----------------++
.i. Matendo 1:5. 4 Hata
alipokuwa amekutana nao aliwaagiza wasitoke Yerusalemu, bali waingoje ahadi
ya Baba, ambayo mlisikia habari zake kwangu; 5 ya kwamba Yohana alibatiza kwa
maji, bali ninyi mtabatizwa katika Roho Mtakatifu baada ya siku hizi chache.
.ii. Matendo
2:38-41, 8:11-19. --> Kubatizwa kwa
jina la Yesu. Maana imeonekana kwa maji hakuna kupata/kumpata/kumpokea Roho
Mtakatifu.
.iii. Matendo
11:16. ->Kubatizwa kwa Roho
Mtakatifu.
Zaidi,
->Matendo 8:38-40
- Ukiamini, ata kwa maji utampokea Roho wa BWANA!. Lakini, hapo si kwamba ndo
tumefundishwa, bali ni historia ya mtu.
->Matendo
9:17-19 - Sauli ambaye ndo Paulo alibatizwa kwa maji machache (kidogo). Paulo
huyo ndiye aliyeandika zaidi nusu ya idadi ya nyaraka katika Agano jipya na
Biblia kwa ujumla.
->Wasio
Waisraeli nao walibatwa na wakampokea Roho Mtakatifu, Matendo 10:45-48.
NB: Si kwamba
tumefundishwa hivyo kutoka kwa Yesu moja kwa moja. Soma kwa makini
|
+-------------+++++++++----------------++--->
6/7
+-------------+++++++++----------------++
Paulo kutamka kwa wazi kupinga ubatizo wa
maji.
.i. Matendo 19:1 Ikawa, Apolo alipokuwa Korintho, Paulo,
akiisha kupita kati ya nchi za juu, akafika Efeso; akakutana na wanafunzi
kadha wa kadha huko; 2 akawauliza,
Je! Mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini? Wakamjibu, La, hata kusikia kwamba
kuna Roho Mtakatifu hatukusikia. 3
Akawauliza, Basi mlibatizwa kwa ubatizo gani? Wakasema, Kwa ubatizo wa
Yohana. 4 Paulo akasema, Yohana
alibatiza kwa ubatizo wa toba, akiwaambia watu wamwamini yeye atakayekuja
nyuma yake, yaani, Yesu. 5 Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana
Yesu. 6 Na Paulo, alipokwisha kuweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu
akaja juu yao; wakaanza kunena kwa lugha, na kutabiri.
.ii. Warumi 6:3 Hamfahamu
ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti
yake? 4 Basi tulizikwa pamoja naye
kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika
wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa
uzima.
-->Hapo ndo
tunapata maana ya ubatizo ikimaanisha kufunikwa/kuzama/kumalizika na
kufunuliwa/kutoka/kuanza tena.
ni kwa kauli hii
"4
Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama
Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na
sisi tuenende katika upya wa uzima".
-->Ubatizo huu
ni ubatizo wa tofauti na wa Yohana. Maana Kristo alikuwa bado hajafa. + Wakolosai 2:12 Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo;
na katika huo mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu
aliyemfufua katika wafu.
.iii. 1Wakorinto 1:13 Je! Kristo amegawanyika? Je! Paulo
alisulibiwa kwa ajili yenu? Au je! Mlibatizwa kwa jina la Paulo?
14 Nashukuru,
kwa sababu sikumbatiza mtu kwenu, ila Krispo na Gayo; 15 mtu asije akasema kwamba mlibatizwa
kwa jina langu. 16 Tena naliwabatiza
watu wa nyumbani mwa Stefana; zaidi ya hao, sijui kama nalimbatiza mtu ye
yote mwingine. 17 Maana Kristo hakunituma
ili nibatize, bali niihubiri Habari Njema; wala si kwa hekima ya maneno,
msalaba wa Kristo usije ukabatilika.
Hapo Paulo
mwenyewe anaweka wazi kuwa yeye si mbatizaji na amebatiza kwa Jina la Yesu
kwa kusimama tu. Wakati wa harusi, msindikizaji, si Bwana harusi wala bi
harusi.
.iv. Wagalatia 3:27 Maana
ninyi nyote mliobatizwa katika Kristo mmemvaa Kristo.
|
+-------------+++++++++----------------+++-------------+++++++++----------------++
Swali NO: 1/9.
Ubatizo wa maji
ulitoka kwa nani/nini/wapi?!.
Math 21:25 Ubatizo wa
Yohana ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni, au kwa wanadamu? Wakahojiana wao kwa
wao, wakisema, Tukisema, Ulitoka mbinguni, atatuambia, Mbona basi
hamkumwamini? 26 Na tukisema,
Ulitoka kwa wanadamu, twaogopa mkutano; maana watu wote wamwona Yohana kuwa
ni nabii. 27 Wakamjibu Yesu
wakasema, Hatujui. Naye akawaambia, Wala mimi siwaambii ninyi ni kwa amri
gani ninatenda haya. +
Marko 11:30, Luka 20:4.
|
+-------------+++++++++----------------++--->7/7+-------------+++++++++----------------++
Kama
hujabatizwa/hutajabatizwa/hajabatizwa:-
.i. Mungu atakuwa na hasira nawe/nasi/naye.
Math 3:7 Hata
alipoona wengi miongoni mwa Mafarisayo na Masadukayo wakiujia ubatizo wake,
aliwaambia, Enyi wazao wa nyoka, ni nani aliyewaonya ninyi kuikimbia hasira
itakayokuja?+ Luka 3:7.
.ii. Kinyume cha
ulazima wa kubatizwa.
|
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO:
2/9. Mbatizaji sasa ni nani?!.
Math 3:11b
"yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.". + Luka
3:16.
Yohana 1:24 Nao wale
waliotumwa walikuwa wametoka kwa Mafarisayo. 25 Wakamwuliza, wakamwambia, Mbona basi
wabatiza, ikiwa wewe si Kristo, wala Eliya, wala nabii yule? 26 Yohana akawajibu akisema, Mimi
nabatiza kwa maji. Katikati yenu amesimama yeye msiyemjua ninyi. ...:34.
Mbatizaji ni Yesu.
Ata kipindikile
alikuwa akibatiza:-
Yohana 3:22 Baada ya
hayo Yesu na wanafunzi wake walikwenda mpaka nchi ya Uyahudi; akashinda huko
pamoja nao, a kabatiza. Ukisoma mpaka mstari wa 36 itapendeza
maana utaona Kazi ya kubatiza si ya Yohana na isitoshe Yesu alibatiza pia,
Yoh 4:1.
Lakini Yoh 4:2
inasema Yesu hakubatiza. Ikionesha kwamba, aliwapa wanafunzi wake hiyo kazi.
Na hapo ujue akili mwako kuwa Yesu anabatiza kwa Roho Mtakatifu (ni moto), na
wakati huo Roho Mtakatifu alikuwa
hajaachiliwa.
Yesu alisema
nikiondoka nitawaachia msaidizi. Weka hilo kichwani. Kwahiyo, walibatiza kwa
uongozi wake ila muda wa kwake yeye haukuwa tayari. Utaona kuwa Yohana si
kazi yake. yaani wanadamu kubatiza si kazi yenu/yetu/yao/yangu.
Kazi kutokuwa
yako, si kwamba hutopewa.
Barabara
zilizojengwa nyingi na zenye viwango na Mh. Dk. Magufuli tunasema ni yeye
Magufuli hatusemi wachina n.k.
Kama mwombaji,
ukimwombea mtu akapona, ni wewe umemponya au Yesu?!. Wamefanya wanafunzi wa
Yesu (wamebatiza) kwa kutokana na Yesu hivyo ni Yesu amebatiza lakini si Yeye
mwenyewe kama afanyavyo sasa.
Kumbuka tena,
Ubatizo wa Yesu ni ambao hajabatiziwa. Amesema yeye, ata simsingizii kwa
ushahidi wa maandiko.
|
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO: 3/9.
Kubatizwa ni lazima au laa?!.
.i. Math 3:15 Yesu akajibu akamwambia, Kubali
hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Basi akamkubali.
Marko Luka Yohana
+ Luka 7:29 Na watu
wote na watoza ushuru waliposikia hayo, waliikiri haki ya Mungu, kwa kuwa
wamebatizwa kwa ubatizo wa Yohana.
30 Lakini, Mafarisayo na wana-sheria walilipinga shauri la Mungu juu
yao, kwa kuwa hawakubatizwa naye.
.ii. Yesu naye alibatizwa. Luka 3:21.
Ijapokuwa Yesu
alibatizwa, ila, anasema, alivyobatizwa sivyo au anasema, ubatizo
aliobatiziwa sie aliokuja nao ndo maana anasema 'nipasao kubaziwa' maanayake
hajabatiziwa/hajabatiziwa ubatizo alokuja nao.
Luka 12:49 Nimekuja
kutupa moto duniani; na ukiwa umekwisha washwa, ni nini nitakalo zaidi? 50 Lakini nina ubatizo unipasao
kubatiziwa, nami nina dhiki kama nini hata utimizwe!.
Ijapokuwa Yesu
alibatizwa, aliyembatiza haikuwa kazi yake rasmi.
Yohana 1:24 Nao wale
waliotumwa walikuwa wametoka kwa Mafarisayo. 25 Wakamwuliza, wakamwambia, Mbona basi
wabatiza, ikiwa wewe si Kristo, wala Eliya, wala nabii yule? 26 Yohana akawajibu akisema, Mimi
nabatiza kwa maji. Katikati yenu amesimama yeye msiyemjua ninyi. ...:34.
-->ubatizo ni
lazima.
Marko 16:16 Aaminiye
na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
+1Petro 1:21 -
Unaokoa.
|
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO:
4/9. Vipi je, nikibatizwa ndo
mbingu nishaiona/nishaifikia/nitaifikia / nitairithi/tutairithi?!!!...
Laa!...
anayekuambia ndiyo, akupe andiko+. Mimi nakuambia hapana kwa maandiko. Mtu
asiyetoa maandiko ujue anabahatisha katika imani na kukariri kuliko kuelewa
yaani anatembea na mawazo ya watu so ya Mungu. Marko 10:35 Na Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo,
wakamwendea, wakamwambia, Mwalimu, twataka utufanyie lo lote tutakalokuomba. 36 Akawaambia, Mwataka niwafanyie
nini? 37 Wakamwambia, Utujalie sisi
tuketi, mmoja mkono wako wa kuume, na mmoja mkono wako wa kushoto, katika
utukufu wako. 38 Yesu akawaambia, Hamjui mnaloliomba. Mwaweza kunywea kikombe
ninyweacho mimi, au kubatizwa ubatizo nibatizwao mimi? 39 Wakamwambia, Twaweza. Yesu akawaambia,
Kikombe ninyweacho mimi mtakinywea, na ubatizo nibatizwao mimi mtabatizwa; 40
lakini habari ya kuketi mkono wangu wa kuume au mkono wangu wa kushoto si
langu kuwapa, ila wao watapewa waliowekewa tayari.
|
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO:
5/9. Je, watu wa zamani walibatizwa?!.
(kabla ya Yohana Mbatizaji).
Hakuna msemo
dhahiri kabisa, ila ni kama ndivyo. Lakini wana wa Israeli tu, labda kwakuwa
walitoka nchi ya utumwa. Lakini vipi kwa waliofia huko?!. Mambo mengine,
tumwachie Mungu.
1Wakorinto 10:1 Kwa maana,
ndugu zangu, sipendi mkose kufahamu ya kuwa baba zetu walikuwa wote chini ya
wingu; wote wakapita kati ya bahari; 2
wote wakabatizwa wawe wa Musa katika wingu na katika bahari;
3 wote wakala
chakula kile kile cha roho; 4 wote
wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho
uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.
|
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO:6/9.Kwanini
tunabatizwa kwa Roho Mtakatifu?!.
Ni ili tuwe kitu
kimoja katika Roho. Kwamaana hiyo hao waliobatizwa na asiye Roho huwa tofauti
tofauti ndo maana utamkuta mzinzi, mlevi, na mwingine ameokoka. Wanakuwa
tofauti tofauti.
Ndo maana ukienda
kanisa hili unakuta kuna mtu aliyebatizwa maji mengi amejawa nguvu za Mungu
na mwingine hajabatizwa maji mengi na amejawa nguvu za Mungu.
Ni kwakuwa
wamebatizwa kwa Roho Mtakatifu ndo maana wa kitu kimoja na amahakika
watashirikiana huduma na hawapingani. Hao wanaopingana, anayemwona mwenzake
amepotea huyo hajabatizwa kwa Roho.
1Wakorinto 12:13 Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa
kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi, au kwamba tu Wayunani; ikiwa tu watumwa
au ikiwa tu huru; nasi sote tulinyweshwa Roho mmoja.
Waefeso 4:5 Bwana
mmoja, imani moja, ubatizo mmoja.
|
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO:
7/9. Kubatizwa kulitokana na nini?!.
Kulitokana na
dhambi za wazazi wa kizazi hiki na kizazi kilichopita ambao walimwasi sana
Mungu.
Sisi hatutahukumiwa
kutokana na dhambi zao hatakama walikuwa wakimcha Mungu vyema. Ndo maana
tunabatizwa. Huyo atakayehukumiwa ni ambaye hamkubali Mungu. 1Wakor 15:29 Au je! Wenye kubatizwa kwa ajili ya
wafu watafanyaje? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, kwa nini kubatizwa kwa ajili
yao? 30 Na sisi, kwa nini tumo hatarini kila saa?
Kwahiyo, kubatizwa
kwetu kunatokana na dhambi za wazazi. Sasa, kwani Yesu si alikufa kwaajili ya
dhambi zetu?! na si alizifuta?!.
Ndiyo, na
alizifuta, ila zipi?!. Uzijue!. Kama ndo hivyo, watu wote wangelienda
mbinguni.
Anayeamini kuwa
Yesu alikufa kwaajili ya dhambi zetu lazima ataamini ubatizo. Yesu alikufa kwaajili ya dhambi zetu
kwa wale waaminio. Na mpaka nawe uhesabiwe huna dhambi kutokana na kufa kwake
ni kutii alosema ikiwamo ubatizwe.
|
+-------------+++++++++----------------++
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO: 8/9.
Kwanini Yohana alibatiza?!.
Soma kwa makini.
Yohana 3:22 Baada ya hayo Yesu na wanafunzi wake walikwenda mpaka nchi ya
Uyahudi; akashinda huko pamoja nao, akabatiza. 23 Yohana naye alikuwa akibatiza huko
Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu
wakamwendea, wakabatizwa.
24 Maana
Yohana alikuwa hajatiwa gerezani.
325 Basi
palitokea mashindano ya wanafunzi wa Yohana na Myahudi mmoja juu ya
utakaso. 26 Wakamwendea Yohana,
wakamwambia, Rabi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ng'ambo ya Yordani, yeye
uliyemshuhudia, tazama, huyo anabatiza na watu wote wanamwendea. 27 Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu kupokea
neno lo lote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni. 28 Ninyi wenyewe
mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele
yake.
29 Aliye naye
bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi, yeye
anayesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi. 30 Basi hii furaha yangu imetimia. Yeye
hana budi kuzidi, bali mimi kupungua.
31 Yeye ajaye kutoka juu, huyo yu juu ya yote. Yeye aliye wa dunia,
asili yake ni ya dunia, naye anena mambo ya duniani. Yeye ajaye kutoka
mbinguni yu juu ya yote.
32 Yale
aliyoyaona na kuyasikia ndiyo anayoyashuhudia, wala hakuna anayeukubali
ushuhuda wake. 33 Yeye aliyeukubali
ushuhuda wake ametia muhuri ya kwamba Mungu ni kweli. 34 Kwa kuwa yeye aliyetumwa na Mungu
huyanena maneno ya Mungu; kwa sababu hamtoi Roho kwa kipimo. 35 Baba ampenda Mwana, naye amempa vyote
mkononi mwake. 36 Amwaminiye Mwana
yuna uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya
Mungu inamkalia.
Kazi ya kubatiza
haikuwa ya Yohana, alifanya kama kwenye harusi tuwaonavyo matron na patron.
|
+-------------+++++++++----------------++
Sijamaanisha kuwa
ubatizo wa maji kabisa haupo, laa, ila ni maji yapi. Maana Yesu ni maji
yaliyo hai. Sasa kwanini usibatizwe na Yeye?!. Wengine huwaita wapenzi wao
kisima cha maji yaliyo hai, Wimbo ulio bora 4:15 Wewe ndiwe chemchemi ya bustani
yangu, Kisima cha maji yaliyo hai, Vijito vya Lebanoni viendavyo kasi.
Wengine humwita Mungu kisima cha maji yaliyo hai, Yeremia 17:13 Ee Bwana,
tumaini la Israeli, wote wakuachao watatahayarika. Wao watakaojitenga nami
wataandikwa katika mchanga, kwa sababu wamemwacha Bwana, kisima cha maji
yaliyo hai.
Lakini
soma kisa hiki kuanzia mwanzo hadi mwisho Yohana mlango wa nne… Na tafakari
zaidi hapa:-
Yohana 4:10 Yesu
akajibu, akamwambia, Kama ungaliijua karama ya Mungu, naye ni nani
akuambiaye, Nipe maji ninywe, ungalimwomba yeye, naye angalikupa maji yaliyo
hai. 11 Yule mwanamke akamwambia,
Bwana, huna kitu cha kutekea, na kisima ni kirefu; basi umeyapata wapi hayo
maji yaliyo hai? 12 Je! Wewe u mkubwa kuliko baba yetu, Yakobo, aliyetupa
kisima hiki, naye mwenyewe akanywa maji yake, na wanawe pia, na wanyama wake?
13 Yesu
akajibu, akamwambia, Kila anywaye maji haya ataona kiu tena; 14 walakini ye
yote atakayekunywa maji yale nitakayompa mimi hataona kiu milele; bali yale
maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujikia uzima
wa milele.
Kipi bora,
tubatizwe kwa maji yaliyohai au kwa maji ya mtoni au kwa maji ya bakuli au
tunywe maji yaliyohai au tunywe maji ya mtoni au tunywe maji ya bakuli?!.
Bora kuzamishwa
katika maji na kutoka, au kunywa maji?!. Je, huoni kama hapo ni rohoni na
mwilini?!.
...Free To Ask...
Not anything but
about God esp this Lsn.
|
Swali la
mwishomwisho,
+-------------+++++++++----------------++
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO: 9/9.
'Kama hatujaambiwa
tubatize/tubatizwe kwa maji, mbona twafanya?!.
Jibu:- Bila
kufanya mambo yawe magumu, Hivyo ni kumkiri Yesu mbele za watu. Ata aliyekufa
pamoja na Yesu msalabani, si kwamba alibatizwa.
Au unataka
ubatizwe uende motoni?!. Au ubatizwe uende mbinguni?!. au Usibatizwe uende
mbinguni?!.
Je,
wapi ndoa imesemwa ifungwe kanisani?!. Lakini twafanya kwa kuonesha tunaimani
na Kristo.
Je, wapi umeambiwa
umzike maiti kwa kumfanyia ibada na kumwekea msalba kaburini?!.
Lakini, twafanya
kwa kuonesha tu wa-Kristo.
Kama neno limefunguliwa kwako, ni lako
hilo, basi tujuze/twajuzana/wajuze kama halijafunguliwa/halijafunuliwa,
mwachie Mungu kuliko umsingizie.
Neno kufunuliwa kwako kuwa lako si kwamba
ndo lako tu.
192p
|
View 02.
Kuna ubatizo / mibatizo / mabatizo mingi/mengi!!!...?!.
-->Waebrania 6:1,2
+-------------+++++++++----------------++--->1/7+-------------+++++++++----------------++
|
|
Ubatizo kwa maana ya kibiblia.hakuna maana ya moja kwa
moja iliyotolewa (kwa uwazi). Anayejua
maana aseme.
--->Kusema
ubatizo wa maji mengi au machache vyote ni sawa si kweli. Na hatakama ni
sawa, Ukweli ni kwamba kubatizwa ni kwa Roho Mtakatifu na ndo kwa moto kwa
ushahidi wa andiko/kimaandiko.
Huyo aliyembatizaga Yesu haikuwa kazi yake. Wewe
unayebatiza leo ni kazi yako hiyo?!. Wewe uliyebatizwa, aliyekubatiza ni kazi
yake?!.
Wewe
unayesema maji mengi au machache toa maandiko. Usiwe mtu unaye kariri ya watu
na si ya Mungu.
Kwa Mtu anasema Yesu alibatizwa maji mengi.
->Hakuna uhakika kuwa maji ni mengi au laa
(yaliyotumika kumbatizia/kumbatiza).
Eti kisa ni mtoni.
Kwani mtoni haiwezekani maji machache/kidogo/ya kichwa?!.
Au
kama ni ya kichwa wangelifanyia nyumbani ee?! haya, ila Yeye Yesu hakusema
Ubatizwe maji mengi na isitoshe usimwige kila kitu ila msikilize kila kitu.
NB: Kuna tofauti kati ya kusikiliza na kuiga. Ukimwiga
Yesu, si mbaya. Ila unamwigaje?.
Kama
unamwiga Yesu kwakuwa alibatizwa, basi
iga na haya. .i. Usioe (kwa
mwanaume), kwa wakike sijui mimi.
.ii. Usiende shule, .iii.
Usisali kanisani n.k maana yote hakufanya. .iv. Usikubali/usiwe mwanafunzi bali
wewe ndo uwe mwalimu na uwe na wanafunzi (sasa sijui wao itakuaje maana nao
kama wanamfata Yesu hawatakiwi wawe na mwalimu). .v. Yesu alitumia sana kauli za 'Mimi
nasema', na wewe tumia hizo kauli.
n.k <--- Huko ndo kuiga.
|
Ila,
kama unaiga machache, maana yake unaiga yale unayoyaweza wewe. Basi
usiwalazimishe watu waige/wamwige pia. Pia, kama ni kwakuwa ulipenda wewe ndo
ukaiga, usiwalazimishe wengine wapende.
Na kama hawatopenda kuiga
usiwahukumu. Kama Yesu amesema iga hili, sawa. Ila kama hakusema, usimlaumu
mtu na usijione kuwa wewe ni bora sana.
Kuiga so tatizo, ila inategemea unaiganini ili nini.
Umeambiwa ubatizwe kwa maji yoyote?!. Wapi alisema. Au una/mna msingizia
Mungu?!.
Mtu
asiibuke na hoja zake bila maandiko. Yesu amesema/ametuambia/aliwaambia
katika Mathayo 28:19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa
wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;.
Sasa anayesema ubatizwe kwa jina
lake ndo umwige?!. Yeye Yesu alibatizwa kwa jina la Baba na la Mwana na la
Roho Mtakatifu?!. Haya tufanye kama umemwiga, utabatizwa kwa maji mengi. Je,
utatumia jina la nani?!. Kama utatumia lake, sasa umebatizwa kwa jina au kwa
maji?!. au kwa maji na kwa jina?!. kama ni kwa maji na kwa jina, umemwiga au
umefanya yako?!.
Yeye amesema
(Yeye, Yeye, Yeye Yesu amesema) Math 28:19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi,
mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Hapo hajasema ata neno moja kuhusu kutumia maji
yoyote/yeyote.
|
+-------------+++++++++----------------++--->2/7.
Ukitaka kujua hakuna haja ya kulumbana kuhusu ubatizo
wa/kwa maji, jiulize na ujijibu.
Musa, Ayubu, Abramu (si Abrahamu)/Ibrahimu, Enoko,Eliya,
Elisha, n.k. hao ni baadhi ya watumishi fulani wa Agano la kale, Je, walibatizwa?!. Je, kati ya hao, akinanani walimtokeaga
Yesu mara ngapi (kuonesha wapo hai)?!. Je, walibatizwa?!.
Yeye Yohana
Mbatizaji, yupo mbinguni au laa?!. Je, alibatizwa?!. Je, kabla ya Yohana
kulikuwa na ubatizo?!. Kama haukuwepo, waliendaga wapi?!. Au basi hakuna
umuhimu wa ubatizo kama bila kubatizwa unaenda Mbinguni maana imeonekana
wameenda mbinguni.
|
+-------------+++++++++----------------++--->3/7.
Yesu kutamka kuhusu kupinga ubatizo wa maji kwa wazi.
(Bila kujali ni maji mengi au machache).
.1. Math 28:19 Basi,
enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la
Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
.2. Marko 10:39 Wakamwambia, Twaweza. Yesu akawaambia, Kikombe
ninyweacho mimi mtakinywea, na ubatizo nibatizwao mimi mtabatizwa; 40 lakini habari ya kuketi mkono wangu wa
kuume au mkono wangu wa kushoto si langu kuwapa, ila wao watapewa waliowekewa
tayari.
Kama
Yesu alibatizwa kwa maji mengi, hapo amesema, ata ukibatizwa kwa maji mengi
unaweza usiende mbinguni. Ila hajasema kwamba usipobatizwa maji mengi utaenda
mbinguni.
Marko 10:39. .1. Kumwiga Yesu so tatizo. .2. Utakapomwiga Yesu usipoenda mbinguni,
usishangae. .3. Yawezekana kubatizwa
kama alivyobatizwa Yesu. .4. Kuenda
mbinguni/kuwa mbinguni ni kwa waliowekewa tayari.
|
+-------------+++++++++----------------++---->4/7.
Kuhusu Yohana mbatizani.
.i. Hakuwa mtu mdogo. Math 11:11 Amin, nawaambieni, Hajaondokea mtu
katika wazao wa wanawake aliye mkuu kuliko Yohana Mbatizaji; walakini aliye
mdogo katika ufalme wa mbinguni ni mkuu kuliko yeye.
.ii.
Mfalme Herode alimwona Yesu kuwa ni kama Yohana Mbatizaji. Math 14:1 Wakati ule
mfalme Herode alisikia habari za Yesu, akawaambia watumishi wake, 2 Huyo ndiye Yohana Mbatizaji; amefufuka
katika wafu; na kwa hiyo nguvu hizo zinatenda kazi ndani yake.+
Marko6:14.
.iii. Na yeye Herode ndo ali mwuaga Math 14:8 Naye, huku
akichochewa na mamaye, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana
Mbatizaji. + Marko 6:24.
.iv. Watu wengine pia walimwona Yesu kuwa ni Yohana
Mbatizaji. Math 16:14 Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji,
wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii. + Marko
8:28, Luka 9:19.
.v. Yohana Mbatizaji alionekana kuwa na pepo. Luka 7:33.
|
.vi. Na huyo Yohana mbatizaji ndiye Eliya.
Math 17: 10 Wanafunzi
wake wakamwuliza, wakisema, Basi kwa nini waandishi hunena ya kwamba imempasa
Eliya kuja kwanza? 11 Naye akajibu,
akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote, 12 ila nawaambia, ya kwamba Eliya
amekwisha kuja, wasimtambue, lakini wakamtenda yote waliyotaka. Vivyo hivyo
Mwana wa Adamu naye yuaenda kuteswa kwao.
13 Ndipo wale wanafunzi walipofahamu ya kuwa amesema nao habari za
Yohana Mbatizaji.
.vii. Yohana kutamka kwa uwazi kuhusu kupinga ubatizo wa
maji.
Math 3:11 Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba;
bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata
kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.
==>> Marko 1:8, Luka 3:16, Yohana 1:26.
|
Maneno ya wazi ya nukuu za/ya Luka katika kitabu cha
Matendo kutamka wazi kupinga ubatizo wa maji.
|
|
+-------------+++++++++----------------++
--->5/7.
+-------------+++++++++----------------++
.i. Matendo 1:5. 4 Hata
alipokuwa amekutana nao aliwaagiza wasitoke Yerusalemu, bali waingoje ahadi
ya Baba, ambayo mlisikia habari zake kwangu; 5 ya kwamba Yohana alibatiza kwa
maji, bali ninyi mtabatizwa katika Roho Mtakatifu baada ya siku hizi chache.
.ii. Matendo 2:38-41, 8:11-19.
--> Kubatizwa
kwa jina la Yesu. Maana imeonekana kwa maji hakuna kupata/kumpata/kumpokea
Roho Mtakatifu.
|
.iii. Matendo 11:16.
->Kubatizwa kwa Roho Mtakatifu.
Zaidi,
->Matendo 8:38-40 - Ukiamini, ata kwa maji utampokea
Roho wa BWANA!. Lakini, hapo si kwamba ndo tumefundishwa, bali ni historia ya
mtu.
->Matendo 9:17-19 - Sauli ambaye ndo Paulo alibatizwa
kwa maji machache (kidogo). Paulo huyo ndiye aliyeandika zaidi nusu ya idadi
ya nyaraka katika Agano jipya na Biblia kwa ujumla.
->Wasio Waisraeli nao walibatwa na wakampokea Roho
Mtakatifu, Matendo 10:45-48.
NB: Si kwamba tumefundishwa hivyo kutoka kwa Yesu moja
kwa moja. Soma kwa makini.
|
+-------------+++++++++----------------++--->6/7+-------------+++++++++----------------++
Paulo kutamka kwa wazi kupinga ubatizo wa
maji.
|
|
.i. Matendo 19:1 Ikawa, Apolo
alipokuwa Korintho, Paulo, akiisha kupita kati ya nchi za juu, akafika Efeso;
akakutana na wanafunzi kadha wa kadha huko;
2 akawauliza, Je! Mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini? Wakamjibu, La,
hata kusikia kwamba kuna Roho Mtakatifu hatukusikia. 3 Akawauliza, Basi mlibatizwa kwa ubatizo
gani? Wakasema, Kwa ubatizo wa Yohana.
4 Paulo akasema, Yohana alibatiza kwa ubatizo wa toba, akiwaambia watu
wamwamini yeye atakayekuja nyuma yake, yaani, Yesu. 5 Waliposikia haya
wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu. 6 Na Paulo, alipokwisha kuweka mikono
yake juu yao, Roho Mtakatifu akaja juu yao; wakaanza kunena kwa lugha, na
kutabiri.
.ii. Warumi 6:3 Hamfahamu
ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti
yake? 4 Basi tulizikwa pamoja naye
kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika
wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa
uzima.
-->Hapo ndo tunapata maana ya ubatizo ikimaanisha
kufunikwa/kuzama/kumalizika na kufunuliwa/kutoka/kuanza tena.
ni kwa kauli
hii "4
Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama
Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na
sisi tuenende katika upya wa uzima".
-->Ubatizo huu ni ubatizo wa tofauti na wa Yohana.
Maana Kristo alikuwa bado hajafa.
+ Wakolosai 2:12 Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo
mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua katika
wafu.
|
.iii. 1Wakorinto
1:13 Je!
Kristo amegawanyika? Je! Paulo alisulibiwa kwa ajili yenu? Au je! Mlibatizwa
kwa jina la Paulo?
14 Nashukuru,
kwa sababu sikumbatiza mtu kwenu, ila Krispo na Gayo; 15 mtu asije akasema kwamba mlibatizwa
kwa jina langu. 16 Tena naliwabatiza
watu wa nyumbani mwa Stefana; zaidi ya hao, sijui kama nalimbatiza mtu ye
yote mwingine. 17 Maana Kristo
hakunituma ili nibatize, bali niihubiri Habari Njema; wala si kwa hekima ya
maneno, msalaba wa Kristo usije ukabatilika.
Hapo Paulo
mwenyewe anaweka wazi kuwa yeye si mbatizaji na amebatiza kwa Jina la Yesu
kwa kusimama tu. Wakati wa harusi, msindikizaji, si Bwana harusi wala bi
harusi.
.iv. Wagalatia 3:27 Maana ninyi nyote mliobatizwa katika Kristo mmemvaa
Kristo.
|
+-------------+++++++++----------------+++-------------+++++++++----------------++
Swali NO: 1/9.
Ubatizo wa maji ulitoka kwa nani/nini/wapi?!.
Math 21:25 Ubatizo wa
Yohana ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni, au kwa wanadamu? Wakahojiana wao kwa
wao, wakisema, Tukisema, Ulitoka mbinguni, atatuambia, Mbona basi
hamkumwamini? 26 Na tukisema,
Ulitoka kwa wanadamu, twaogopa mkutano; maana watu wote wamwona Yohana kuwa
ni nabii. 27 Wakamjibu Yesu
wakasema, Hatujui. Naye akawaambia, Wala mimi siwaambii ninyi ni kwa amri
gani ninatenda haya.
+ Marko 11:30, Luka 20:4.
|
+-------------+++++++++----------------++--->7/7+-------------+++++++++----------------++
Kama hujabatizwa/hutabatizwa:- .i. Mungu atakuwa na hasira nawe.
Math 3:7 Hata alipoona
wengi miongoni mwa Mafarisayo na Masadukayo wakiujia ubatizo wake,
aliwaambia, Enyi wazao wa nyoka, ni nani aliyewaonya ninyi kuikimbia hasira
itakayokuja?+ Luka 3:7.
.ii. Kinyume cha ulazima wa kubatizwa.
|
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO: 2/9.
Mbatizaji sasa ni nani?!.
Math 3:11b "yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa
moto.". + Luka 3:16.
Yohana 1:24 Nao wale
waliotumwa walikuwa wametoka kwa Mafarisayo. 25 Wakamwuliza, wakamwambia, Mbona basi
wabatiza, ikiwa wewe si Kristo, wala Eliya, wala nabii yule? 26 Yohana akawajibu akisema, Mimi
nabatiza kwa maji. Katikati yenu amesimama yeye msiyemjua ninyi. ...:34.
Mbatizaji ni Yesu.
Ata kipindikile alikuwa akibatiza:-
Yohana 3:22 Baada ya
hayo Yesu na wanafunzi wake walikwenda mpaka nchi ya Uyahudi; akashinda huko
pamoja nao, a kabatiza. Ukisoma mpaka mstari wa 36 itapendeza
maana utaona Kazi ya kubatiza si ya Yohana na isitoshe Yesu alibatiza pia,
Yoh 4:1.
Lakini
Yoh 4:2 inasema Yesu hakubatiza. Ikionesha kwamba, aliwapa wanafunzi wake
hiyo kazi. Na hapo ujue akili mwako kuwa Yesu anabatiza kwa Roho Mtakatifu
(ni moto), na wakati huo Roho
Mtakatifu alikuwa hajaachiliwa.
Yesu
alisema nikiondoka nitawaachia msaidizi. Weka hilo kichwani. Kwahiyo,
walibatiza kwa uongozi wake ila muda wa kwake yeye haukuwa tayari. Utaona
kuwa Yohana si kazi yake. yaani wanadamu kubatiza si kazi yenu/yetu/yao/yangu.
Kazi kutokuwa yako, si kwamba hutopewa.
Barabara
zilizojengwa nyingi na zenye viwango na Mh. Dk. Magufuli tunasema ni yeye
Magufuli hatusemi wachina n.k.
Kama
mwombaji, ukimwombea mtu akapona, ni wewe umemponya au Yesu?!. Wamefanya
wanafunzi wa Yesu (wamebatiza) kwa kutokana na Yesu hivyo ni Yesu amebatiza
lakini si Yeye mwenyewe kama afanyavyo sasa.
Kumbuka
tena, Ubatizo wa Yesu ni ambao hajabatiziwa. Amesema yeye, ata simsingizii
kwa ushahidi wa maandiko.
|
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO: 3/9. Kubatizwa ni lazima au laa?!.
.i. Math 3:15 Yesu
akajibu akamwambia, Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza
haki yote. Basi akamkubali.
Marko Luka
Yohana
+ Luka 7:29 Na watu
wote na watoza ushuru waliposikia hayo, waliikiri haki ya Mungu, kwa kuwa
wamebatizwa kwa ubatizo wa Yohana.
30 Lakini, Mafarisayo na wana-sheria walilipinga shauri la Mungu juu
yao, kwa kuwa hawakubatizwa naye.
.ii. Yesu naye
alibatizwa. Luka 3:21.
Ijapokuwa Yesu alibatizwa, ila, anasema, alivyobatizwa
sivyo au anasema, ubatizo aliobatiziwa sie aliokuja nao ndo maana anasema
'nipasao kubaziwa' maanayake hajabatiziwa/hajabatiziwa ubatizo alokuja nao.
Luka 12:49 Nimekuja
kutupa moto duniani; na ukiwa umekwisha washwa, ni nini nitakalo zaidi? 50 Lakini nina ubatizo unipasao
kubatiziwa, nami nina dhiki kama nini hata utimizwe!.
Ijapokuwa Yesu
alibatizwa, aliyembatiza haikuwa kazi yake rasmi.
Yohana 1:24 Nao wale waliotumwa walikuwa wametoka
kwa Mafarisayo. 25 Wakamwuliza,
wakamwambia, Mbona basi wabatiza, ikiwa wewe si Kristo, wala Eliya, wala
nabii yule? 26 Yohana akawajibu
akisema, Mimi nabatiza kwa maji. Katikati yenu amesimama yeye msiyemjua
ninyi. ...:34.
-->ubatizo ni lazima.
Marko 16:16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini,
atahukumiwa.
+1Petro 1:21 - Unaokoa.
|
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO: 4/9.
Vipi je, nikibatizwa ndo mbingu nishaiona/nishaifikia/nitaifikia /
nitairithi/tutairithi?!!!...
Laa!...
anayekuambia ndiyo, akupe andiko+. Mimi nakuambia hapana kwa maandiko. Mtu
asiyetoa maandiko ujue anabahatisha katika imani na kukariri kuliko kuelewa
yaani anatembea na mawazo ya watu so ya Mungu. Marko 10:35 Na Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo,
wakamwendea, wakamwambia, Mwalimu, twataka utufanyie lo lote
tutakalokuomba. 36 Akawaambia,
Mwataka niwafanyie nini? 37
Wakamwambia, Utujalie sisi tuketi, mmoja mkono wako wa kuume, na mmoja mkono
wako wa kushoto, katika utukufu wako. 38 Yesu akawaambia, Hamjui mnaloliomba.
Mwaweza kunywea kikombe ninyweacho mimi, au kubatizwa ubatizo nibatizwao
mimi? 39 Wakamwambia, Twaweza. Yesu
akawaambia, Kikombe ninyweacho mimi mtakinywea, na ubatizo nibatizwao mimi
mtabatizwa; 40 lakini habari ya kuketi mkono wangu wa kuume au mkono wangu wa
kushoto si langu kuwapa, ila wao watapewa waliowekewa tayari.
|
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO: 5/9. Je,
watu wa zamani walibatizwa?!. (kabla ya Yohana Mbatizaji).
Hakuna msemo
dhahiri kabisa, ila ni kama ndivyo. Lakini wana wa Israeli tu, labda kwakuwa
walitoka nchi ya utumwa. Lakini vipi kwa waliofia huko?!. Mambo mengine,
tumwachie Mungu.
1Wakorinto 10:1 Kwa maana,
ndugu zangu, sipendi mkose kufahamu ya kuwa baba zetu walikuwa wote chini ya
wingu; wote wakapita kati ya bahari; 2
wote wakabatizwa wawe wa Musa katika wingu na katika bahari;
3 wote wakala
chakula kile kile cha roho; 4 wote
wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho
uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.
|
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO:6/9.Kwanini tunabatizwa kwa Roho Mtakatifu?!.
Ni ili
tuwe kitu kimoja katika Roho. Kwamaana hiyo hao waliobatizwa na asiye Roho
huwa tofauti tofauti ndo maana utamkuta mzinzi, mlevi, na mwingine ameokoka.
Wanakuwa tofauti tofauti.
Ndo maana
ukienda kanisa hili unakuta kuna mtu aliyebatizwa maji mengi amejawa nguvu za
Mungu na mwingine hajabatizwa maji mengi na amejawa nguvu za Mungu.
Ni kwakuwa
wamebatizwa kwa Roho Mtakatifu ndo maana wa kitu kimoja na amahakika
watashirikiana huduma na hawapingani. Hao wanaopingana, anayemwona mwenzake
amepotea huyo hajabatizwa kwa Roho.
1Wakorinto 12:13 Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa
kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi, au kwamba tu Wayunani; ikiwa tu watumwa
au ikiwa tu huru; nasi sote tulinyweshwa Roho mmoja.
Waefeso 4:5 Bwana
mmoja, imani moja, ubatizo mmoja.
|
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO: 7/9.
Kubatizwa kulitokana na nini?!.
Kulitokana na
dhambi za wazazi wa kizazi hiki na kizazi kilichopita ambao walimwasi sana
Mungu.
Sisi hatutahukumiwa kutokana na dhambi zao hatakama
walikuwa wakimcha Mungu vyema. Ndo maana tunabatizwa. Huyo atakayehukumiwa ni
ambaye hamkubali Mungu. 1Wakor 15:29 Au je!
Wenye kubatizwa kwa ajili ya wafu watafanyaje? Kama wafu hawafufuliwi kamwe,
kwa nini kubatizwa kwa ajili yao?
30 Na sisi, kwa nini tumo
hatarini kila saa?
Kwahiyo,
kubatizwa kwetu kunatokana na dhambi za wazazi. Sasa, kwani Yesu si alikufa
kwaajili ya dhambi zetu?! na si alizifuta?!.
Ndiyo, na
alizifuta, ila zipi?!. Uzijue!. Kama ndo hivyo, watu wote wangelienda
mbinguni.
Anayeamini kuwa Yesu alikufa kwaajili ya dhambi zetu
lazima ataamini ubatizo. Yesu
alikufa kwaajili ya dhambi zetu kwa wale waaminio. Na mpaka nawe uhesabiwe
huna dhambi kutokana na kufa kwake ni kutii alosema ikiwamo ubatizwe.
|
+-------------+++++++++----------------++
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO: 8/9. Kwanini Yohana alibatiza?!.
Soma kwa makini.
Yohana 3:22 Baada ya hayo Yesu na wanafunzi wake walikwenda mpaka nchi ya
Uyahudi; akashinda huko pamoja nao, akabatiza. 23 Yohana naye alikuwa akibatiza huko
Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu
wakamwendea, wakabatizwa.
24 Maana Yohana alikuwa hajatiwa gerezani.
325 Basi
palitokea mashindano ya wanafunzi wa Yohana na Myahudi mmoja juu ya
utakaso. 26 Wakamwendea Yohana,
wakamwambia, Rabi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ng'ambo ya Yordani, yeye
uliyemshuhudia, tazama, huyo anabatiza na watu wote wanamwendea. 27 Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu
kupokea neno lo lote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni. 28 Ninyi wenyewe
mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele
yake.
29 Aliye naye
bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi, yeye
anayesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi. 30 Basi hii furaha yangu imetimia. Yeye
hana budi kuzidi, bali mimi kupungua.
31 Yeye ajaye kutoka juu, huyo yu juu ya yote. Yeye aliye wa dunia,
asili yake ni ya dunia, naye anena mambo ya duniani. Yeye ajaye kutoka
mbinguni yu juu ya yote.
32 Yale
aliyoyaona na kuyasikia ndiyo anayoyashuhudia, wala hakuna anayeukubali
ushuhuda wake. 33 Yeye aliyeukubali
ushuhuda wake ametia muhuri ya kwamba Mungu ni kweli. 34 Kwa kuwa yeye aliyetumwa na Mungu
huyanena maneno ya Mungu; kwa sababu hamtoi Roho kwa kipimo. 35 Baba ampenda Mwana, naye amempa vyote
mkononi mwake. 36 Amwaminiye Mwana
yuna uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya
Mungu inamkalia.
Kazi ya kubatiza haikuwa ya Yohana, alifanya kama kwenye
harusi tuwaonavyo matron na patron.
|
+-------------+++++++++----------------++
Sijamaanisha kuwa ubatizo wa maji kabisa haupo, laa, ila ni
maji yapi. Maana Yesu ni maji yaliyo hai. Sasa kwanini usibatizwe na Yeye?!.
Wengine huwaita wapenzi wao kisima cha maji yaliyo hai, Wimbo ulio bora 4:15 Wewe ndiwe
chemchemi ya bustani yangu, Kisima cha maji yaliyo hai, Vijito vya Lebanoni
viendavyo kasi. Wengine humwita Mungu kisima cha maji yaliyo hai,
Yeremia 17:13
Ee Bwana, tumaini la Israeli, wote wakuachao watatahayarika. Wao watakaojitenga
nami wataandikwa katika mchanga, kwa sababu wamemwacha Bwana, kisima cha maji
yaliyo hai.
Lakini soma kisa hiki kuanzia
mwanzo hadi mwisho Yohana mlango wa nne… Na tafakari zaidi hapa:-
Yohana 4:10 Yesu
akajibu, akamwambia, Kama ungaliijua karama ya Mungu, naye ni nani akuambiaye,
Nipe maji ninywe, ungalimwomba yeye, naye angalikupa maji yaliyo hai. 11 Yule mwanamke akamwambia, Bwana, huna
kitu cha kutekea, na kisima ni kirefu; basi umeyapata wapi hayo maji yaliyo
hai? 12 Je! Wewe u mkubwa kuliko baba yetu, Yakobo, aliyetupa kisima hiki, naye
mwenyewe akanywa maji yake, na wanawe pia, na wanyama wake?
13 Yesu akajibu, akamwambia, Kila anywaye
maji haya ataona kiu tena; 14 walakini ye yote atakayekunywa maji yale
nitakayompa mimi hataona kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani
yake chemchemi ya maji, yakibubujikia uzima wa milele.
Kipi bora, tubatizwe kwa maji yaliyohai au kwa maji ya
mtoni au kwa maji ya bakuli au tunywe maji yaliyohai au tunywe maji ya mtoni au
tunywe maji ya bakuli?!.
Bora kuzamishwa katika maji na kutoka, au kunywa maji?!.
Je, huoni kama hapo ni rohoni na mwilini?!.
...Free To Ask...
Not anything but
about God esp this Lsn.
Swali la mwishomwisho,
+-------------+++++++++----------------++
+-------------+++++++++----------------++
Swali NO: 9/9.
'Kama hatujaambiwa tubatize/tubatizwe kwa maji, mbona
twafanya?!.
Jibu:-
Bila kufanya mambo yawe magumu, Hivyo ni kumkiri Yesu mbele za watu. Ata
aliyekufa pamoja na Yesu msalabani, si kwamba alibatizwa.
Au unataka ubatizwe uende motoni?!. Au ubatizwe uende
mbinguni?!. au Usibatizwe uende mbinguni?!.
Je, wapi ndoa imesemwa ifungwe
kanisani?!. Lakini twafanya kwa kuonesha tunaimani na Kristo.
Je, wapi umeambiwa umzike maiti kwa kumfanyia ibada na
kumwekea msalba kaburini?!.
Lakini, twafanya kwa kuonesha tu wa-Kristo.
Kama neno limefunguliwa kwako, ni lako
hilo, basi tujuze/twajuzana/wajuze kama halijafunguliwa/halijafunuliwa, mwachie
Mungu kuliko umsingizie.
Neno kufunuliwa kwako kuwa lako si kwamba
ndo lako tu.
192p
Slots, Casino & Hotel Near San Manuel (SANMANT)
ReplyDeleteMapyro Hotel 동해 출장마사지 and 포항 출장마사지 Casino. 495 W Charleston Blvd. S, San 순천 출장안마 Manuel, 익산 출장안마 CA 94930. Get Directions. (760) 852-7777. 포항 출장안마