Tathimini ya vitabu vya Biblia. (Biblia isiyo na Vitabu vya Deuterokanoni).


VIEW 02.


Tathimini ya vitabu vya Biblia. (Biblia isiyo na Vitabu vya Deuterokanoni).      (1/7)
Agano la kale.








Kitabu cha
1-39.
Sura/
Milango.
Mistari.
Idadi ya maneno.
Waandishi/
Mwandishi.
Kuandikwa. Kabla ya Kristo. K.k.






.31. Obadia.
1
21
502
Obadia.
840
.37. Hagai.
2
38
967
Hagai.
520
.32. Yona.
4
48
1,000
Yona mwana wa Amitai.
760
.34. Nahumu.
3
47
1,048
Nahumu Mwelkoshi.
663 – 612.
.35. Habakuki.
3
56
1,171
Habakuki.
 612. - 605.
.36. Sefania.
3
53
1,258
Sefania.
639-609.
.39. Malaki.
4
55
1,430
Malaki.
557- 525.
.29. Yoel.
3
73
1,656
Yoel mwana wa Pethueli.
830
.08. Ruthu.
4
85
1,901
 Yoshua, Mwishoni:- Eleazari na Finehasi.
1646 – 1616.
.22. Wimbo ulio bora.
8
117
2,081
Solomoni.
960
.33. Mika.
7
105
2,437
Mika.
740-710.
.25. Maombolezo.
5
154
2,601
Yeremia.
585 – 586.
.30. Amosi.
9
146
3,304
Amosi.
760-755.
.28. Hosea.
14
197
4,077
Hosea mwana wa Beeri.
715-710.
.17. Esta.
10
167
4,443
Ezra, Modekai na Nehemia hasa Ezra.
486-465.
.21. Mhubiri.
12
222
4,538
Solomoni.
935
.38. Zekaria.
14
211
5,131
Zekaria.
520-470.
.15. Ezra.
10
280
6,347
Ezra.
539 – 458.
.16. Nehemia.
13
406
8,550
Ezra na Nehemia. Hasa Ezra.
538 - 458 - 445
.27. Daniel.
12
357
9,466
Daniel.
605- 530.
.20. Mithali.
31
915
11,888
Solomoni.
1,000  -730.
.18. Ayubu.
42
1,070
14,516
Ayubu.
-
.07. Waamuzi.
21
618
15,389
Samweli.
1126
.10. 2Samweli.
24
605
15,878
Zabudi, Samweli, Daudi, Nathani na Gadi
1204 -1035.
.06. Joshua.
24
685
17,227
Yoshua, Elizari na Finehasi.
1646 – 1616.
.12. 2Wafalme.
25
719
17,483
Isaya na Yeremia, Nathani, Godi, Ido, Ahiya, Yehu - Hasa Yeremia na kundi la manabii.
kabla ya 600 – 550.






.13. Nyakati.1.
29
935
18,145
Ezra.
1279 – 461.
.11. 1Wafalme.
22
817
18,605
Isaya na Yeremia, Nathani, Godi, Ido, Ahiya, Yehu.
1046 -616.
.09. 1Samweli.
31
810
19,423
Samweli, nabii Nathani na Gadi.
1204 – 1035.
.14. Nyakati.2.
36
821
19,813
Ezra.
1279 – 461.
.03. Walawi.
27
859
20,444
Musa.

.05. Torati.
34
956
20,480
Musa.
 1645.
.04. Hesabu.
36
1,284
27,984
Musa

.01. Mwanzo.
50
1,535
28,219
Musa.
 1688.
.23. Isaya.
66
1,292
28,478
Nabii Isaya mwana wa Amozi.
700 – 680.
.26. Ezekieli.
48
1,273
31,002
Ezekieli mwana wa Buzi.
593 – 571.
.19. Zaburi.
150
2,461
31,275
Daudi - 73, Asafu –12, Wana wa Kora – 10, Mose – 1, Hemani – 1, Ethani – 1, Solomoni – 2. 50 hazijulikani ni nani mwandishi.
1,500 - 450.
.24. Yeremia.
52
1,364
33,077
Yeremia.
627-580.

Sura/
Milango.
 Mistari.
Idadi ya maneno.


Jumla:-
929.
23,070.
480,338.









Inaonekana wazi kuwa, kitabu chenye maneno mengi ni Yeremia, ijapokuwa kina sura chache *x3 zaidi, na kina mistari *x1.8 michache kulinganisha na kitabu cha Zaburi. Kitabu cha Ayubu kina mistari 1,000+ lakini hakina maneno mengi kulinganisha na vingine vyenye chini ya idadi ya mistari 1,000.

Agano la Kale.                                                                                                                                                                                                                                                                                (2/7)
.1. Kitabu chenye maneno mengi ni:- ……………………..
.2. Aliyeviandika Vitabu vingi ni:- ………………………………………
.3. Kitabu chenye mistari mingi ni:- ……………………………………………………………………
.4. Jumla Agano la kale lina mistari:- ……………………………………
.v. Kitabu chenye Sura:-.i. Chache sana ni:- …………………………………………..ii. Nyingi sana ni:- …………………………………………….
.vi. Kitabu cha katikati ni:- ………………………………………………………………..
.7. Neno la katikati ni neno lililopo kwenye kitabu gani na ni katika Sura ipi?! (katika agano la kale tu). ………………………………………………………………………….
.8. Manabii ambao hawajaandika/hawajahusika katika kuandika vitabu vinavyounda kitabu (Biblia) ni:- ………………………………………………………………………………………..
.9. Vitabu Vitatu vyenye Milango/Sura nyingi ni:- ……………………………………………………………………………………………………………..
.10.  Vitabu vine vilivyoandikwa karibuni kwa kuja kwake Yesu ni:- ………………………………………………………………………………………………………………………………..
.11. Vitabu (manabii) waliotabiri kuja kwa Yesu ni:- ……………………………………………………………………………………………………………………………………………
K






Kitabu cha
1-27.
Sura/
Milango.
Mistari.
Idadi ya maneno.
Waandishi/
Mwandishi.
Kuandikwa.        (3/7)
àOn progress…
Agano Jipya.





.24. 2Yohana.
1
13
234
Yohana.

.25. 3Yohana.
1
15
237
Yohana.

.18. Filemoni.
1
25
388
Paulo.

.26. Yuda.
1
25
575
Yuda.

.14. 2Thethalonike.
3
47
856
Paulo.

.17. Tito.
3
46
856
Paulo.

.22. 2Petro.
3
61
1,327
Petro.

.16. 2Thimotheo.
4
83
1,459
Paulo.

.13. 1Thethalonike.
5
89
1,563
Paulo.







.12. Wakolosai.
4
95
1,724
Paulo.

.20. Yakobo.
5
108
1,898
Yakobo.

.11. Wafilipi.
4
104
1,933
Paulo.

.23. 1Yohana.
5
105
2,026
Yohana.

.15. 1Thimotheo.
6
113
2,037
Paulo.

.21. 1Petro.
5
105
2,069
Petro.







.09. Wagalatia.
6
149
2,558
Paulo.

.10. Waefeso.
6
155
2,664
Paulo.

.08. 2Wakorinto.
13
257
5,114
Paulo.

.19. Waebrania.
13
303
5,792
Inasemekana ni Paulo.

.07. 1Wakortinto.
16
437
7,746
Paulo.

.06. Warumi.
16
433
8,007
Paulo.

.27. Ufunuo.
22
404
9,914
Yohana.

.02. Marko.
16
678
10,367
Marko.

.04. Yohana.
21
878
14,260
Yohana.

.01. Mathayo.
28
1,071
16,990
Mathayo .

.03. Luka.
24
1,151
18,404
Luka.

.05. Matendo.
28
1,007
18,605
Luka.

Jumla:  -
260
7,957
139,603



Sura/
Milango.
 Mistari.
Idadi ya maneno.


Jumla kuu:-
1,189.
31,027.
619,941.











Katika Agano Jipya.                                                                                                                                                                                                                                                            (4/7)
.1. Kitabu chenye maneno mengi ni:- ……………………..
.2. Aliyeviandika Vitabu vingi ni:- ………………………………………
.3. Kitabu chenye mistari mingi ni:-……………………………………….
.4. Jumla Agano Jipya  lina mistari:- ……………………………………
.v. Kitabu chenye Sura:-.i. Chache sana ni:- ………………………………………….
         .ii. Nyingi sana ni:- …………………………………………….
.vi. Kitabu cha katikati ni:- ………………………………………………………………..
.7. Neno la katikati ni neno lililopo kwenye kitabu gani na ni katika Sura ipi?! (katika agano jipya tu). ………………………………………………………………………….
.8. Manabii ambao hawajaandika/hawajahusika katika kuandika vitabu
 vinavyounda kitabu (Biblia) ni:- ………………………………………………………………………………………………………..
.9. Vitabu Vitatu vyenye Milango/Sura nyingi ni:- ……………………………………………………………………………………………………………..
.10.  Vitabu vinne vilivyoandikwa kuhusu kuja kwake Yesu ni (kutimia kwa unabii):-
………………………………………………………………………………………………………………………………..


Biblia kwa Ujumla.                                                                                                                                                                                                                                                                  (5/7)
.1. Kitabu chenye maneno mengi ni:- ……………………………..
.2. Aliyeviandika Vitabu vingi ni:- ………………………………………
.3. Kitabu chenye mistari mingi ni:-……………………………………………………………
.4. Jumla Biblia ina mistari:- ……………………………………
.v. Kitabu chenye Sura:-.i. Chache sana ni:-………………………………………………….
.ii. Nyingi sana ni:- ………………………………………………..
.vi. Kitabu cha katikati ni:- ………………………………………………………………..
.7. Neno la katikati ni neno lililopo kwenye kitabu gani na ni katika Sura
 ipi?! (katika Biblia kwa ujumla). ………………………………………………………………………….
.8. Manabii ambao hawajaandika/hawajahusika katika kuandika vitabu
 vinavyounda kitabu (Biblia) ni:- ………………………………………………………………………………………………………..
.9. Vitabu Vitatu vyenye Milango/Sura nyingi ni:- ……………………………………………………………………………………………………………..
.10.  Vitabu vinne vilivyoandikwa karibuni kwa kuja kwake Yesu na kutimia kwa unabii ni:- ……………………………………………………………………………………………………….
K
.i. Kitabu cha katikati katika Agano la kale tu:-
.a.  Kutokana na idadi ya vitabu:-
Vitabu vipo 39. 39 ÷ 2 = 19.5.
Kwahiyo, kitabu cha katikati ni cha 20. Kutokea juu au kutokea chini, nacho ni Mithali.

.b. Kutokana na idadi ya maneno=Katikati mwa Agano la kale:-
Neno la katikati, bila kujali kuanzia mwisho au mwanzo ni neno la :-480,338 ÷ 2 = 240,169 – neno la katikati.

Najumlisha kuanzia  Mwanzo (kitabu) kuendelea mpaka nitakapokuta neno la 240,169.

Kutokea Mwanzo (kitabu)-   .a. Mpaka Wafalme2 ni maneno 230,137.
       .b. Mpaka Nyakati1, ni maneno 248,282.

Kutokea Malaki (kitabu) 
       .a. Mpaka Nyakati2 ni maneno 232,056.
       .b. Mpaka Nyakati 1 ni maneno 250,201.

Kwahiyo, kitabu cha katikati hapo ni kitabu chenye neno la 240,169 ni  kitabu cha Mambo ya Nyakati 1.
Kitabu hicho kina maneno 18,145.
NB: si katikati kwake ndo katikati.
Kwahiyo, natafuta neno la 240,169 kwa kuchukua idadi zinazokaribia na kuongezea maneno:-
.a. Kwakuwa mpaka Wafalme2, kuna maneno 230,137,  --- >240,169 - 230,137 = 10,032.        18,145 – 10,032 = 8,113.
    ->Kwahiyo, nikianza mwanzo wa kitabu cha Nyakati1 neno la 8,113 ndo katikati.
NB: Nikianzia mwanzo si kuanzia mwisho.

Sura zipo 29. Kuanzia Sura ya 1 mpaka ya 29 ndo maneno 18,145. Natafuta neno la 8,113.     ->Kuanzia Sura ya 1 mpaka ya 11, ni maneno 7,993 na mpaka sura ya 12 ni maneno 8,870.     8,113 – 7,993 = 120.
Neno la 120 katika 1Nyakati (kwa kuanzia mwanzo) ndo katikati. Nalo ni:- ‘na’ katika mstari wa 11, Sura ya 12.

.c. Kutokana na kurasa.
Mlango wa mwisho wa kitabu cha mwisho (katika agano la kale), Malaki, ni mlango wa-nne, nao umeandikwa kuwa ni ukurasa wa 985.
Kwahiyo, 985 ÷ 2 = 492.5. = 493. Kitabu chenyewe ni:-
Nyakati 2 mlango wa 20.
      ---->Kwa idadi ya maneno haijawa sawa na kurasa na si swa na kwengine kwakuwa, kurasi zingine za Biblia zimebananishwa maneno zingine zimeachishwa mbali mbali na zingine ni tafsiri tofauti huwa na maneno mengi au machache na utofauti wa uandishi wa mashairi.
.d. Kwa idadi ya Sura/Milango.
NB: Ni kwa Agano la kale tu.
929 ÷ 2 = 464.5. Sura ya katikati ni sura ya:465.
 Bila kujali umeanzia juu kwenda chini au chini kwenda juu.
    .a. Kutoka Mwanzo mpaka Esta, ni sura 436,  nikiongezea Ayubu inazidi 465 maana ni sura 478.
    .b. Kutoka Malaki mpaka Zaburi, ni sura 451. Nikiongezea  mpaka Ayubu ni sura 493 - zaidi.
Imeonekana kuwa, Kitabu cha Ayubu ndo kina sura ya katikati. Sura hiyo ni:-
465 – 436= 29. Kwahiyo, ni sura ya 29 baada ya kitabu cha Esta nayo ni
sura ya 29 katika kitabu cha Ayubu.

.e. Kwa idadi ya Mistari.
Mstari wa katikati ni wa:- 23,070 ÷ 2 = 11,535(+1).
      .a. Kutoka Mwanzo mpaka (mwisho wa) Nyakati1 ni mistari 11,121.
      .b. Kutoka Malaki
                ->Mpaka Nyakati2 ni mistari 11,949.     ->Mpaka Ezra ni mistari 11,128.
    ->Inaonekana kuwa, Mstari wa 11,535(+1) upo kwe kitabu cha Nyakati2.
Mstari wenyewe ni:-  
 11,535 (+1) – 11,121 = 414(+1).
Mstari wa 414(+1) kwe Nyakati2 upo kwe sura ya:-
->Kuanzia mstari wa kwanza katika sura ya kwanza Mpaka sura ya 20, kuna mistari 429.  Mpaka sura ya 19 mwisho, ni mistari 392. 414 (+1) – 392 = 22(+1) – kutokea mwanzo wa sura ya 20 si kutokea mwishoni.
        ----->Kwahiyo, Mstari wa Katikati unapatikana katika   Nyakati2 Sura ya 20 Mstari wa 22(+1).
NB: Nimeanzia sura ya kwanza mstari wa kwanza kwakuwa nimetumia 11,121 maana kama ningelitumia 11,949 nitatokea mstari wa mwisho katika sura ya mwisho kuenda wa kwanza.
     ---->‘+1’ inamaanisha ‘ongezea moja’. Ni kwakuwa 23,070 inagawanyika kwa mbili, na namba inayogawanyika kwa mbili haina nusu/katikati. Mf: Una vidole vitano, havigawanyiki kwa mbili ndo maana una katikati. Ila kama unavidole sita, huna kidole cha katikati kabisa.
         Sura ya katikati, Kitabu cha katikati kwa idadi ya vitabu na Mstari wa katikati ni Kwa Biblia za tafsiri zote (isipokuwa Biblia yenye vitabu vya Deuterokanoni  na Biblia ya NIV {NIV ni  kwa mistari tu! – inamistari michache kama -7 hivi) }.
.ii. Kitabu cha Katikati katika Agano jipya tu:-
.a.  Kutokana na idadi ya vitabu:-
Vitabu vipo 27. 27÷2 = 13.5.
Kitabu cha 14 ndo kipo katikati. Kwa kuanzia juu au chini. Nacho ni:- Wathethalonike2.

.b. Kutokana na idadi ya maneno = Katikati mwa Agano jipya.
Bila kujali kuanzia mwanzo (Mathayo) kuenda mwisho (Ufunuo) neno la katikati ni la:-  139,603 ÷ 2 = 69,801.5 = 69,802 – neno la katikati ndo la namba hiyo.

Na-jumlisha maneno ya kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo na ya kuanzia Ufunuo kuja Mathayo kuona nitakutana na kitabu gani kinachokaribia 69,802 kisha kutafuta sura mstari na neno.
Kutokea mwanzo wa kitabu (Mathayo):-
         .a. Mpaka Yohana, ni maneno:- 60,021.
         .b. Mpaka Matendo ni maneno:-78,626.

Kutokea mwisho wa kitabu (Ufunuo):- 
.a. Hadi Warumi,maneno 60,977.
.b. Hadi Matendo,maneno 79,582.
  Hapo inaonesha, neno la 69,802 lipo kwe kitabu cha Matendo. Ndo kitabu cha katikati.
Kupata neno lenyewe (2), Sura na mstari.   Kwakuwa mpaka kitabu cha matendo, (kutokea Mathayo) kuna maneno 78,626.
69,802 - 60,021= 9,781.
Neno la 9,781 katika kitabu cha Matendo nikianzia mwanzo, ndo la katikati.
Mpaka sura ya 14 mwisho kabisa, ni maneno 9,232.
9,781 – 9,232 = 549 – Neno hilo ni kuanzia mstari wa kwanza wa sura inayofuata ya 14 yaani ya 15.
   Neno la katikati ni ‘ya’ katika Sura ya 15, Mstari wa 30 - Matendo.

.c. Kutokana na kurasa.
Ufunuo ndo kitabu cha mwisho katika sura ya 22 ukurasa wa 273. 136.5.  137.
Kitabu chenyewe ni Matendo ya Mitume. Sura 15. Na kwakuwa ni 136.5, ni Sahihi kusema ni Matendo, Sura ya 14, Upande wa2. (Biblia iliyogawanyika mara mbili kwa kurasa).

NB: Si Biblia zote zinafanana katika uandishi (upangiliaji). Ijapokuwa ata maneno ni yale yale.

.d. Kutokana na sura/milango.
Jumla kuna sura 260.
260 ÷ 2 = 130(+1) – Sura ya/za katikati.
      .a. Kutoka Mathayo mpaka Warumi, ni milango 133. Mpaka Matendo ni Milango 117.
      .b. Kutoka Ufunuo mpaka Wakorinto1 ni vitabu 127.

Inaonesha kuwa, Sura ya 130(+1) ipo kwe kitabu cha Warumi.

130(+1) – 117 = 13(+1).
Au 130(+1) – 127 = 3(+1).

13(+1) ni sura ya  13na14 ya kitabu cha Warumi kuanzia sura ya kwanza.

3(+1) ni sura  ya 3na4 ya kitabu cha Warumi kuanzia/kutokea sura ya mwisho kuenda ya kwanza.

.e. Kwa Idadi ya mistari.
7,957 ÷ 2 = 3,978.5 = 3,979.

Mstari wa 3,979 ndo wa katikati. Ukitokea mwanzoni na ukitokea mwishoni.
     .a. Kutoka Mathayo mpaka Yohana, ni mistari 3,778.
    .b. Kutoka Ufunuo mpaka Warumi, 3,172.

Inaonesha kuwa, mstari wa 3,979 upo kwe kitabu cha Matendo kilichoandikwa na Luka.

3,979 – 3,778 = 201. Mstari wa 201 kutoka sura ya kwanza ya kitabu cha Matendo.
Ni katika sura ya 7 mstari wa 8.
      Matendo 7: 8 Akampa agano la tohara; basi Ibrahimu akamzaa Isaka, akamtahiri siku ya nane. Isaka akamzaa Yakobo. Yakobo akawazaa wale kumi na wawili, wazee wetu.
.iii. Kitabu cha katikati katika Biblia kwa ujumla:-
.a.  Kutokana na idadi ya vitabu:-
Vitabu jumla 66. Kitabu cha katikati ni cha 33.
Kutokea Mwanzo ni kitabu cha Mika. Kutokea Ufunuo ni kitabu cha Nahumu. Kwahiyo, ni vitabu viwili.

.b. Kutokana na idadi ya maneno = Katikati mwa Biblia.
619,941 ÷ 2 309,970.5  309,971.

Kutoka Mwanzo mpaka:-
.i. Zaburi 333,226. .ii. Ayubu 301,951.

Kutoka Ufunuo mpaka:-
.ii. Zaburi 317,990. .ii. Mithali 286,715.

Inaonekana, katikati ni kwe Zaburi.
Nitaanzia kwa nyuma, kufikia 309,971.

309,971 - 286,715 = 23,256 – neno katika Zaburi kuanzia nyuma.

Ni Mwanzoni kabisa mwa sura ya 41. Mwanzo kabisa, neno la mstari wa ndo lenyewe, ‘1’.


.c. Kutokana na kurasa.
Agano la kale, kurasa 985. Agano Jipya, kurasa 273.
985 + 273 = 1,258.
1,258 ÷ 2 = 629.

Nikianzia Mwanzo kuenda Ufunuo na Nikianzia Ufunuo kuenda mwanzo, ukurasa wa 629 ni:- Zaburi, Sura ya 69.



.d. Kutokana na sura/milango.
Jumla kuna sura 1,189 :-
1,189 ÷ 2 = 594.5 = 595.
Sura ya 595 ndo ya katikati. Ukianzia Mwanzo kuenda Ufunuo na pia, ukianzia Ufunuo kuenda Mwanzo utapata jibu moja.


(6b/7)
Kutoka Mwanzo mpaka
Zaburi,628. MpakaAyubu 478.
Kutoka Ufunuo
mpaka Zaburi, 711.                            Mpaka Mithali, 561.

Hapa natafuta sura ya 595. Imeonekana ipo kwenye Zaburi.

595 – 478 = 117  - kutoka sura ya 1 kuenda ya mwisho (150).
Au 595 – 561 = 34 – Kutoka sura ya 150 kwenda sura ya kwanza.

Jibu ni:- Zaburi 117.

.e. Kwa idadi ya Mistari.
Biblia ina jumla ya Mistari 31,037.
31,037 ÷ 2 = 15,518.5 = 15,519 – Mtari wa Katikati. Kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo na ata kuanzia Ufunuo kuja Mwanzo. Mstari wa 15,519 ndo wa katikati.

   .a. Kutoka Mwanzo mpaka:-
  .i. Zaburi – 16,326.  .ii. Ayubu – 13,865.
    .b.  Kutoka Ufunuo mpaka:-
  .i. Zaburi – 17,162.  .ii. Mithali – 14,701.

Inaonekana kuwa, mstari wa 15,519 upo kwe Zaburi.
->15,519 - 13,865 = 1,654.
Kwahiyo, katika Zaburi, nikianzia mstari wa kwanza katika sura ya kwanza, mstari wa 1,654 ndo wa katikati. Nao upo kwenye sura ya 104 mstari wa 23 “Mwanadamu atoka kwenda zake kazini, Na kwenye utumishi wake mpaka jioni” ni mistari 1,654.
Jibu ni Zaburi 104 mstari wa 23.




           
Kitabu cha 1-39.
Sura.
Mistari.
Maneno.
.01. Mwanzo.
50.
1,535.
28,219
.02. Kutoka.
40.
1,213.
27,104
.03. Walawi.
27.
859.
20,444
.04. Hesabu.
36.
1,284.
27,984
.05. Torati.
34.
956.
20,480
.06. Joshua.
24.
685.
17,227
.07. Waamuzi.
21.
618.
15,389
.08. Ruthu.
4.
85.
1,901.
.09. 1Samweli.
31.
810.
19,423
.10. 2Samweli.
24.
605.
15,878
.11. 1Wafalme.
22.
817.
18,605
.12. 2Wafalme.
25.
719.
17,483
.13. Nyakati.1.
29.
935.
18,145
.14. Nyakati.2.
36.
821.
19,813
.15. Ezra.
10.
280.
6,347.
.16. Nehemia.
13.
406.
8,550.
.17. Esta.
10.
167.
4,443.
.18. Ayubu.
42.
1,070.
14,516
.19. Zaburi.
150.
2,461.
31,275
.20. Mithali.
31.
915.
11,888
.21. Mhubiri.
12.
222.
4,538.
.22. Wimb--
8.
117.
2,081.
.23. Isaya.
66.
1,292.
28,478
.24. Yeremia.
52.
1,364.
33,077.
.25. Maombolezo.
5.
154.
2,601.
.26. Ezekieli.
48.
1,273.
31,002
.27. Daniel.
12.
357.
9,466.
.28. Hosea.
14.
197.
4,077.
.29. Yoel.
3.
73.
1,656
.30. Amosi.
9.
146.
3,304.
.31. Obadia.
1.
21.
502.
.32. Yona.
4.
48.
1,000.
.33. Mika.
7.
105.
2,437.
.34. Nahumu.
3.
47.
1,048.
.35. Habakuki.
3.
56.
1,171.
.36. Sefania.
3.
53.
1,258.
.37. Hagai.
2.
38.
967.
.38. Zekaria.
14.
211.
5,131.
.39. Malaki.
4.
55.
1,430.
Jumla:-
929.
23,070
480,338
Kitabu cha 1-27.
Sura
Mistari.
maneno.
.01. Mathayo.
28.
1,071.
16,990.
.02. Marko.
16.
678.
10,367.
.03. Luka.
24.
1,151.
18,404.
.04. Yohana.
21.
878.
14,260.
.05. Matendo.
28.
1,007.
18,605.
.06. Warumi.
16.
433.
8,007.
.07. 1Wakortinto.
16.
437.
7,746.
.08. 2Wakorinto.
13.
257.
5,114.
.09. Wagalatia.
6.
149.
2,558.
.10. Waefeso.
6.
155.
2,664.
.11. Wafilipi.
4.
104.
1,933.
.12. Wakolosai.
4.
95.
1,724.
.13. 1Thethalonike.
5.
89.
1,563.
.14. 2Thethalonike.
3.
47.
856.
.15. 1Thimotheo.
6.
113.
2,037.
.16. 2Thimotheo.
4.
83.
1,459.
.17. Tito.
3.
46.
856.
.18. Filemoni.
1.
25.
388.
.19. Waebrania.
13.
303.
5,792.
.20. Yakobo.
5.
108.
1,898.
.21. 1Petro.
5.
105.
2,069.
.22. 2Petro.
3.
61.
1,327.
.23. 1Yohana.
5.
105
2,026
.24. 2Yohana.
1.
13.
234.
.25. 3Yohana.
1.
15.
237.
.26. Yuda.
1.
25.
575.
.27. Ufunuo.
22.
404.
9,914.
Jumla:-
260.
7,957
139,603
Jumla kuu:-
1,189
31,027
619,941
NB: Maelezo yaliyopita ni kwa upande wa Biblia za mtiririko wa namba kama nilivyoziandika. Maana Biblia zipo zingine hazina mtiririko kama huo hasa za kiingereza kama HRB – Hebraic Roots Bible mtiririko ni tofauti kwahiyo, majibu hayatofanana. Na pia, idadi ya maneno ni kwa Biblia ya kiswahi na yenye tafsiri ya zamani si tafsiri ya kisasa maana idadi ya maneno ni tofauti isipokuwa Sura na mistari (kwa Biblia isiyo yenye Vitabu vya Deuterokanoni, maana katika kitabu cha Esta na Danieli katika Biblia yenye Vitabu vya Deuterokanoni, kuna sura nyingi na mistari mingi, Kitabu cha Danieli, Sura 14 na mistari iliyoongezeka ni 63 (13) + 42 (14), Kitabu cha Esta, Sura 10 na mistari iliyoongezeka ni A- 17, B-7, CH – 30, D – 16, E – 24, F – 10 na maelezo mengine (machache). Kwahiyo, kwa maelezo yaliyopita na haya yajayo ni kwa Biblia fulani tu na si nyingine/zingine.
Pia, maelezo yaliyopita na haya yajayo, kuhusu idadi ya maneno, ni bila kuhusisha maneno yafuatayo:-
.1. ‘Sura ya 3, 4, 23, 22, n.k).
.2. Kitabu cha / injili ya / waraka wa / yaani bila kuhusisha jina la kitabu husika, mf: Zaburi, Yohana, Ayubu n.k. – hayajahusishwa katika kuhesabu.
->Namba za mistari zimehusika.




192


Kwa Kifupi. Katikati mwa:-
Kwa kutokana na:-
.a. Idadi ya vitabu.
.b. Idadi ya maneno.
.c. Idadi ya kurasa.
.d. Idadi ya Milango/sura.
.e. Idadi ya mistari.
(7/7)
.1. Agano la kale.
Mithali.
1Nyakati 12: 11.
2Nyakati 2: 20.
Ayubu 29.
2Nyakati  20: 22(+1).
.2. Agano jipya.
Wathethalonike2.
Matendo 15:30.
Matendo 15.
Warumi 13na14.
Matendo 7:8.
.3. Biblia kwa ujumla.
Mika na Nahumu.
Zaburi 41:1 ‘1’.
Zaburi  69.
Zaburi 117.
Zaburi 104:23.
Inaonekana kuwa, katikati kwa Biblia, ni kwingi hasa kutokana na kigezo cha kutumia kupapata katikati.
Kwakuwa nikikosea namba moja tu katika sehemu yoyote kwenye jedwali la kwanza, basi, kutatokea mpishano wa sehemu  nyingi. Hili ni  toleo la 5, mpaka toleo la nane, ninauhakika kutakuwa hakuna kosa hata moja. Mpaka sasa kuna kama tatizo la mistari sita.


Kama kutakuwa na mapungufu, usisite kuniambia. Kama kunamahali kumekaa vizuri, hamna haja ya kuniambia maana ndo inapaswa.   
192p



Comments