Yesu kutamka kuhusu kupinga ubatizo wa maji kwa wazi. 006Ubtz3.17jan17.3-8

.3/8.!!!Yesu kutamka kuhusu kupinga ubatizo wa maji kwa wazi.!!!
(bila kujali ni maji mengi au machache).
.1. Math 28:19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;.
“†††-->Hapo ni dhahiri kuwa:-
.1.    Yesu hajasema tu/mbatizwe kwa maji bali kwa jina.
.2.    Yesu hajasema, ‘mbatizwe kama mimi’.
.3.    Yesu hajasema, tusi/msibatizwe kwa maji.
.4.    Yesu hajasema, ‘msibatizwe kama mimi’.
Tuache hayo ambayo hajayasema, labda kwakuwa yameshasemwa.
.5.    Yesu amesema kwa kuagiza/kuwaagiza wanafunzi wake, wakawafanye mataifa (yote) kuwa wanafunzi wake Yeye.
.6.    Ukishakuwa mwanafunzi wa Yesu ndo unabatizwa.*
.7.    Yesu amesema ubatizo uwe kwa jina/majina. Majina hayo ni yapi?!...†††”.

.2. Marko 10:39 Wakamwambia, Twaweza. Yesu akawaambia, Kikombe ninyweacho mimi mtakinywea, na ubatizo nibatizwao mimi mtabatizwa;    40 lakini habari ya kuketi mkono wangu wa kuume au mkono wangu wa kushoto si langu kuwapa, ila wao watapewa waliowekewa tayari.
            Kama Yesu alibatizwa kwa maji mengi, hapo amesema, ata ukibatizwa kwa maji mengi unaweza usiende mbinguni. Ila hajasema kwamba usipobatizwa maji mengi utaenda mbinguni.
Marko 10:39.
.1.     Kumwiga Yesu so tatizo.  
.2.     Utakapomwiga Yesu usipoenda mbinguni, usishangae.   .3.     Yawezekana kubatizwa kama alivyobatizwa Yesu. 
.4.     Kuenda mbinguni/kuwa mbinguni ni kwa waliowekewa tayari “†††(BILA KUJALI KAMA UMEBATIZWA AU UMEBATIZWA KAMA YESU AU LAA)†††”.

(bado kuna marekebisho, marekebisho yakikamilika, neno hili halitakuwepo)

Lesson Series

Downloads
.1.
006Ubtz3.17jan17.1/8
Maana ya ubatizo.

.2.
006Ubtz3.17jan17.1/8


.3.
006Ubtz3.17jan17.1/8


.4.
006Ubtz3.17jan17.1/8


.5.
006Ubtz3.17jan17.1/8


.6.
006Ubtz3.17jan17.1/8


.7.
006Ubtz3.17jan17.1/8


.8.
006Ubtz3.17jan17.1/8


.9.
Complete Ubatizo 3.   (hakuna bali ipo ubatizo 2 ambayo ni complete, kupata Ubatizo 2 bonya hapa)




Comments