Nyimbo za Tenzi (instrumental+) 01.



Endelea kutembelea ukurasa huu utakuta mabadiliko.





Kupata nyimbo za audio za tenzi na vitabu vingine vya nyimbo, kama vile, tumwabudu Mungu wetu, Mwimbieni BWANA, Nyimbo za Kristo, Nyimbo za Injili, pata hapa.

Sehemu hizi zinafanana lakini zinamaana yake. Tembelea yoyote.

NB: Kuna instrumentals, key za kupiga via piano/keyboard, Video, n.k

Sehemu ya kwanza.
Sehemu ya pili.
Sehemu ya tatu.
Sehemu ya nne.

Nyimbo zimewekwa kwa alphabets. Na ni kwa lugha ya kiingereza. Kwa kuanza chagua nyimbo kutoka kwenye kitabu cha tenzi za rohoni, chukua kitabu, (cha njano), kila wimbo umeandikwa kwa lugha ya kiingereza kwenye upande wa kichwa. Wewe chukua kichwa hicho na utafute kulingana na alphabet husika.

Mfano:- (ukitaka ku-download, bonyeza sehemu ya save file)
.002. Hata ndimi elfu -> o for a thousand tongues to sing .01. .02. .03. .04. .05. .06. .07. .08. .09. .10. .11. na kadhalika.

.005. Jina lake Yesu tamu -> How sweet the name of Jesus sounds.
.007. Ni tabibu wa karibu -> The great physcian is near.
.009. Yesu kwetu ni rafiki -> What a friend we have in Jesus.
.010. Usinipite -> Pass me not.

.011. Nina haje nawe -> I Need thee every hour.
.015. Cha kutumaini sina -> My hope is built on nothing less.
.016. Kumtegemea mwokozi -> T'is So sweet to trust in Jesus.
.018. Akifa Yesu nikafa naye -> Dying with Jesus, by death reckoned mine.
.019. Ndiyo dhamana Yesu wangu -> Blessed assurance Jesus is mine.

.022. Kale nilitembea ->
.023. Ni salama rohoni mwangu ->  When peace like a river.
.024. Mwokozi moyoni mwangu ->  Since Jesus came into my heart.
.025. Nimekombolewa na Yesu -> Redeemed! How i love to proclaim.
.026. Yesu unipendaye -> Jesus, Lover of my soul.
.027. Mungu ni pendo -> God is love.
.029. Baba yetu aliye mbiunguni -> I am so glad that our father in heaven.


.040. Nasikia kuitwa -> I hear thy welcome voice.
.041. Yesu aliniita njoo -> I heard the voice of Jesus said.
.047. Ni wako wewe -> I am thine, o Lord, I have heard thy voice.
.049. Nitwae hivi nilivyo -> Just as i am without one plea.

.050. Yesu nakupenda u mali yangu -> My Jesus, i love thee, i know thou.
.052. Yote namtolea Yesu. -> All to Jesus.

.054. Yesu nataka kutakaswa sana. -> Lord Jesus, I long to be perfectly whole.
.056. Ni sku kuu, siku ile. -> O Happy day that fixed my choice.
.058. Mwamba wenye imara. -> Rock of ages, cleft for me.
.059. Peleleza ndani yangu. -> Search me, O God, My actions try.

.061. Tumesikia mbiu. -> we have heard.
.067. BWANA uliyewaita. -> Thow who didst call thy saints of God->
.069. Twendeni askari. -> Onward, Christian soldiers.

.071. Mteteeni Yesu. -> Stand up for Jesus.
.077. Msalabani pa mwokozi. -> Down at the cross.
.078. Sioshwi dhambi zangu. -> What can wash away my sins.

.080. Wamwendea Yesu kwa kusafiwa. -> Have you been to Jesus for the cleansing power.
.082. Sioni haya kwa BWANA. -> At the cross.
.087. Deni ya dhambi ilimalizika. -> Jesus paid it all.
.089. Kwa kalvari. -> At calvary.

.092. Nataka nimjue Yesu. -> More about Jesus.

.101. Twonane milele. -> In the sweet by and by.
.102. Kazi yangu ikiisha. -> when my life work is ended.
.103. Kaa nami. -> Abide with me.
.104. Twasoma ni njema sana. -> There is a better world they say.

.114. Nashangaa kabisa BWANA MUNGU. -> How great thou art.
.116. BWANA u sehemu yangu. -> Thou my everlasting portion.
.117. Tufani inapovuma. -> When the storms of life are raging.

.121. Liko lango moja wazi. -> The gate ajar for me.
.125. Ati twonane mtoni? -> Shall we gather at the river?

(ukurasa huu bado unafanyiwa marekebisho) *marekebisho yakikamilika neno hili halitakuwepo.


Kwa watumiaji wa android, pakua apk ya:- (hapa)

.01. Tumwabudu Mungu wetu.apk - 5.8 MB.  aina nyingine gusa hapa, aina nyingine gusa hapa.

.02. Tenzi za rohoni.apk - 5.8MB,  au gusa hapa 3.4MB, au gusa hapa - 3.4MB.



Kwa watumiaji wa computer au smartphones zenye software maalumu. pata pdf, .txt,


.01.  Tenzi za rohoni.PDF,  aina nyingine gusa hapa, aina nyingine gusa hapa.
(inafanyiwa kazi/marekebisho zaidi inakaribia kuwepo april hii2018)

.02. . Nyimbo za Kristo.PDF.

.03. Nyimbo za rohoni.PDF

Sehemu zingine zinazohusu nyimbo.
.001. 

Muziki wa Kikristo - usio gharamia


.002.

.003.

.004.

.005.

Comments